Sweden na Finland sasa hivi kuna njaa kali, msijisumbue kutamani kuja

WE MBONA HURUDI??
TAKBIIIR
 
Kuna ka kipindi kwa sasa dunia inapitia(transition)

Huu sasa ndio wakati mzuri wa kuja huko.

Siku dunia ikifunguka inafunguka na wewe ukiwa ndani ya ulaya.
 
HUKU UNAKOPA NGURUWE MPAKA KG 15
SAMAKI MPAKA KG 10.
MENGINEYO MPAKA 20
UNAMALIZANA MWISHO WA MWEZI

ACHA HIZO KULE SINZA KWENYE MANHATTAN WA KUTOA STRESS UKITOA NAMBA UKAWA MWEKEZAJI ENDELEVU NAE MWENDO WA MKOPO9 SHEHEEEE
 
Oya Nyangwisi hauwezi kaandika mada bila kuniTag mwehu wewe ?
 
Oya nipe ABC nizamie mkoba tayari nineuchukua mpya hauna hata mwaka
 
Mkuu sina pakuanzia halafu si unajua wabongo kwa kucheka na kudhihaki bora nikomae hukuhuku.

Sasa mangi wewe ni flight controller upo kwenye control Tower hapo si uniunganishie hata usafi tu.
Wewe mzee nataka chalii aje asome huko hela ya kumlipia Ada ipo anataka kusoma computer science ni Nchi gani imekaa poa sana kuhusu Elimu yao nilitaka asome stellenbosch sema sasa hivi wana vurugu sana za kubagua wageni hawa Wazulu hii ishu ya mwaka huu aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…