Sweden na Finland sasa hivi kuna njaa kali, msijisumbue kutamani kuja

Mkuu kuna chuo kipo Germany kinaitwa Saarland university, hakina ada na wanatumia kiingereza. Vyuo vya ulaya vinakuwaga na changamoto ya kutotumia kiingereza.
 
Vipi weewe Unrudi huku tuje kula vumbi pamoja?
 
Na mishahara kama huyo anayefagia au mfagiaji kama atafanya kazi masaa matatu kwa siku mara nne kwa wiki analipwa sh ngapi? fedha ya kibongo

Gharama za nyumba kodi ikoje

Chakula pia bei ipoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…