Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

Relax...!
Naona umekuwa na hasira kuliko Mungu wakoπŸ˜…
Huyo Mungu Anaweza akaamua kuwasamehe na maisha yakaendelea...Usimpangie.
 
Kama ni nakala yako halafu akaja mtu kuichoma basi huo utakuwa ni wizi na itahesabika ni kosa

Lakini kama umenunua nakala yako na ukaichoma, hiyo haiwezi kuwa kosa na wala hakuwezi kuwa na adhabu.
 
Kama laana na Albadir zingekua zinafanya kazi. Basi bush na Tony blear wangeshakua vichaa kwa hizo Albadir walizo somewa na waarabu.
 
Hapo zamani za kale, uchapishaji wa nakala za vitabu ilikuwa ni issue ngumu inayohitaji muda na mali. Waliandika Kwa mkono wenye kitabu chao walidhani Dunia haita badirika kiteknologia wakaweka masharti makali ya kutisha watu kukiogopa kitabu na wengine wamemeza hivyo hivyo Hadi Karne ya Sasa ya maendeleo kitechologia. Hata wachome vyote Quruan haita potea kamwe katika ulimwengu huu wa digitalization na kuna watu wamekimeza hicho kitabu chote.

Hakuna haja ya makasiriko wawaache tu mwisho wataona ujinga. Zaidi waweke nguvu kwenye kuprint kopi nyingi zaidi na wazigawe bure au app zaidi
 
Quran so ndio ina roga watu wawe machozi mwenye Aya ya albadili? Mzungu harogeki
 
Uturuki mji ulisawazishwa na tetemeko na wenyewe walichoma quran
 
JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????
 
Waislamu kwenye issue kama hizi Huwa nawashangaa sana, Kuna jamaa nimelionyesha hii habar eti limekasirika linataka kulia aisee!!
 
Hao ni njaa na matamanio ndio yanayowaponza. Lengo lao wakishafanya hivyo na wakishaharibu wanapata kigezo cha kupata kibali cha ukimbizi huko Sweden wakiegemea sababu ya kutishiwa kuuawa.
Tayari mmoja ana uraia toka 2021 na mwingine ana permanent resident mkuu. Wairaq wakorofi sana
 
Kabisa mkuu!
 
Iliwahi kutokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…