Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chaka la shetaniQuran ina Mafundisho Mengi ya KISHETANI.
Relax...!Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. 😭 😭
Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.
Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.
NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.
Wallau Allam🙏🙏🙏🙏
Kama laana na Albadir zingekua zinafanya kazi. Basi bush na Tony blear wangeshakua vichaa kwa hizo Albadir walizo somewa na waarabu.Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. [emoji24] [emoji24]
Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.
Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.
NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.
Wallau Allam[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Uturuki mji ulisawazishwa na tetemeko na wenyewe walichoma quranMimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. 😭 😭
Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.
Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.
NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.
Wallau Allam🙏🙏🙏🙏
Nadhani ungeisoma kwanza!Quran ina Mafundisho Mengi ya KISHETANI.
Tayari mmoja ana uraia toka 2021 na mwingine ana permanent resident mkuu. Wairaq wakorofi sanaHao ni njaa na matamanio ndio yanayowaponza. Lengo lao wakishafanya hivyo na wakishaharibu wanapata kigezo cha kupata kibali cha ukimbizi huko Sweden wakiegemea sababu ya kutishiwa kuuawa.
Kabisa mkuu!baadhi ya watu wanapenda namna waislam wana act kama kunguru so wanapenda kuwachezea.
kwa sisi watu wa mtaani kuna dhana kwamba ukipewa jina la utani ukalichukia lazima likunate,kila mtu ataendelea kukuita,ila ukicheka ukakausha ndio linafia hapo hapo.
kuchana kitabu cha dini,hakuna athali zozote kwa mchanaji,mwenye nacho(mungu),waumini wa kitabu hisika,wala watazamaji,kile ni kitabu tu,kinaweza hata kuchambiwa.
zaidi tu mchanaji anatakiwa ahurumiwe kwa kukosa busara.
Iliwahi kutokea wapiMimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.