Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

Waingereza waliingia kwa vita, waliposhinda Vita wakaikalia Zanzibar kwa miaka zaidi ya 70. Ni ajabu kwa miaka 70 wakoloni waingereza kutoua wazanzibar. Hawa watakua wakoloni bora kuwahi kutokea

Mkuu soma bila jazba, wapi nimesema wanaotakiwa kupingwa ni waarabu ?
Wewe umetolea mfano kwa kusema "hjyo Samia mnayempinga", ndio nikakujibu kuwa ukiwa raisi lazima upingwe nikakutolea mifano ya maraisi waliopita. Sasa hapo waarabu wanaingiaje?
Huyo ndiye aliyeuawa na Mfalme? Au aliuawa na muingereza?
 
mimi nilikutana na mzungu mmoja alienda Nigeria na Sudan kabla vita . Akaniambia alipokuwa Sudan aliweza kuweka begi lake nje wala lisiguswe na mtu . Alipokwenda Nigeria kachukuwa taxi kaenda safari alipokuwa njiani kamwambia dereva wa taxi anataka kwenda dukani asimame . anasema aliporudi yule dereva wa Taxi kakataa kabisa kuwa alimchukuwa kabla na vitu vyake alivyoweka ndani kavichukuwa vyote.
Nimekuonyesha hapo Somaliland hali ilivyo na watu ni masikini lakini nyoyoni ni matajiri. hali hiyo hiyo ilikuwepo zamani miaka ya 60s na 70s Zanzibar. wakati wa sala mtu anakwenda kusali hafungi duka lake , mnunuzi akija anaona bei ya kitu anachukuwa na kuweka pesa . Hiyo ndiyo zanzibar aliyoivamia Nyerere Mkatoliki kwa chuki zake za uislamu
Walioiharibu sana Nigeria ni mafisadi, madikiteta na magaidi kutoka upande Kaskazini.
 
mimi nilikutana na mzungu mmoja alienda Nigeria na Sudan kabla vita . Akaniambia alipokuwa Sudan aliweza kuweka begi lake nje wala lisiguswe na mtu . Alipokwenda Nigeria kachukuwa taxi kaenda safari alipokuwa njiani kamwambia dereva wa taxi anataka kwenda dukani asimame . anasema aliporudi yule dereva wa Taxi kakataa kabisa kuwa alimchukuwa kabla na vitu vyake alivyoweka ndani kavichukuwa vyote.
Nimekuonyesha hapo Somaliland hali ilivyo na watu ni masikini lakini nyoyoni ni matajiri. hali hiyo hiyo ilikuwepo zamani miaka ya 60s na 70s Zanzibar. wakati wa sala mtu anakwenda kusali hafungi duka lake , mnunuzi akija anaona bei ya kitu anachukuwa na kuweka pesa . Hiyo ndiyo zanzibar aliyoivamia Nyerere Mkatoliki kwa chuki zake za uislamu
Tatizo kubwa la mataifa ya kiarabu na utamaduni wa kiarabu/Kiislamu ni ubaguzi wa rangi, koo na kipato pamoja na ufisadi na umwinyi wa watu wachache. Mfano uarabuni wafanyakazi wa ndani wa majumbani hasa weusi kutoka Africa kuteswa na kutendewa vibaya kama sio binadamu na wamiliki wao Waarabu ni jambo la kawaida tu.
 
Hivi Sudani kusini kuna kitu gani hata wakapigana ?? na hapo Kongo jee ?? Na ulisahau hawa wanaoijiita gen Z ilikuwaje Oktober 29 wakafyekwa ??
 
Tanganyika wanayo , kayale 😛 😛 😛 😛
Ukanda wa Pwani na Zanzibar ndio unaongoza kwa mashoga, unaweza kumkuta hata Mzee wa miaka 70 akimuambia mtu "nitakufira" huyu wanaongea mambo wanayoyatenda siku zote katika maisha yao.. ni nadra sana mikoa ya bara hususani kule Usukumani kumkuta mwanaume ni shoga kwa sheria kali za kimila kama sungusungu atatandikwa viboko hadharani..
 
Hivi Nabii wenu Tito ametokea Zanzibar au ukanda wa pwani ??
 
Back
Top Bottom