Una tafuta kweli pesa au unazurura tu sweeden bwashee?Nilivuta asubuhi nilipoamka ila hadi jioni nikirudi ghetto kwasababu nilipo nikivuta italeta kidogo sintomfaham. Ila hapo kati ni malbourogh za kutosha.
Nilikuwa sijui kama bangi za huko ni kali kiasi hiki! Zinampelekesha hadi cousin wake Busu la KengeBwashee bila shaka ushavuta bangi
😆😆😆😆 bangi yake sio poa mara bichwa komwe mara busu la kenge😅Nilikuwa sijui kama bangi za huko ni kali kiasi hiki! Zinampelekesha hadi cousin wake Busu la Kenge
Tumekutuma ukasake pesa wewe unaenda vuta mabangi , ngoja urudi na bichwa kubwa na raba za Nike og na saa tu🤔Hahaha umenifanya nicheke kwa sauti.
Takbir, takbir , takbir...dini ya Mwenyaaazi MunguIdadi ya wananchi Sweden ni million 11. Waislamu ni 220,000 tu lakini ndio wengi jela na magerezani kwa makosa ya kuua, kubaka, wizi, madawa na vurugu. Labda mfungo wa ramadhani utasaidia.
adios amigo Jagina adriz Adiosamigo
Idadi ya wananchi Sweden ni million 11. Waislamu ni 220,000 tu lakini ndio wengi jela na magerezani kwa makosa ya kuua, kubaka, wizi, madawa na vurugu. Labda mfungo wa ramadhani utasaidia.
adios amigo Jagina adriz Adiosamigo
He is getting older with his stupidity.Una tafuta kweli pesa au unazurura tu sweeden bwashee?
Huyo ndio maghayo a.k.a imam HusseinBwashee bila shaka ushavuta bangi
Mwamba kichwa yake mda wote ipo nduki🤣Huyo ndio maghayo a.k.a imam Hussein
Anasema yeye ni mshia
Huyo kichwa chake anakijua mwenyeweMwamba kichwa yake mda wote ipo nduki🤣
Sema mwamba anayo akili 😂Huyo kichwa chake anakijua mwenyewe
Safi sana bwashee , mwanaume unapaswa kupitia mambo mengi , mimi mwenyewe huwa nataka kushusha uzi wangu ila nafuta nikihisi watadai chai🤣🤣Hahaha bwashee. Unanikumbusha likizo yangu ya kwanza kurudi bongo mwanzoni 2009 ilikuwa fujo. Nilirudi kama na usd 3000 hivi halafu nikanunua tshirt nyingi za kutosha na suti 3 mguuni mokas na adidas samba. Ilikuwa wiki mbili yani fujo masela walikunywa sana. Nilikuwa nikimaliza kunywa navunja glasi kwa kubamiza ukutani. Tshet sirudii. Suti nikivaa na sunglasses nilikodi prado. Hela ikaniishia ikabidi nile kona nakujificha Dar. Ex wangu akanipiga jeki nakunitumia western union. Enzi hizo ni mwendo email tu internet cafe. Nikarudi mtoni. Ila kwa kweli namshukuru mungu kwa haya maisha hapo kati niliaribu sana. Kuna wakati nataka kushusha uzi jamvin nafuta.
Ana character wake wa kuitwa imam Hussein sijui alimtoa wapiSema mwamba anayo akili 😂
Hapo ndio huwa ana niuzi 😅 uislamu ni dini ya mama yangu mzazi , anavyo ichezea ni kama anamzingua b mkubwa wangu 😅😅 jambo ambalo mimi mwanae siwezi kubali hata kama sina dini😅😅Ana character wake wa kuitwa imam Hussein sijui alimtoa wapi
Ni kweli Sweden inaharibiwa na waislamu vyanzo ni vingi google kidogo tu uone.1. Bring the source
2. How does this help you ?
3. Do you know which countries are in a Top list of high criminal rate ?
Ngoja aje alete ufafanuzi kwa nini anapiga vita uislamuHapo ndio huwa ana niuzi 😅 uislamu ni dini ya mama yangu mzazi , anavyo ichezea ni kama anamzingua b mkubwa wangu 😅😅 jambo ambalo mimi mwanae siwezi kubali hata kama sina dini😅😅