Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

Sawa wajichanganye vipi ?? unataka waingie tamaduni za kulewa , kufirana , kuoana wanaume kwa wanaume wanawake kwa wanawake , kula unga au vipi ??
Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.

Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.
 
R.i.p prof. Y. Bwatwa..ulirudi bongo na PHD in early years of Tanganyika independence from American alisoma huko diploma mpaka PhD.

Ndie prof wake na prof ndarichako Mimi na prof. Bwatwa timeshare a moment for Life..

Prof. Bwatwa alikua ananambia Kila siku asubuh niwapigiw simu wazazi wangu kuwajulia Khali....

NB. Prof . Bwatwa alinifundisha watu wa Amerika wakitaka kusengenya au kuzungumza mtu Huwa wanakuomba ruhusa mtu anakuchana wazi wazi... American spirit Kiranga
 
Wewe kijana huelewi , Mimi nakuambia watu wa Eastern block ndio matatizo . Kuna jamaa hapa alienda kusoma Sweden anasema wa polish wanaiba mpaka mswaki unaopigia , ukianika chupi yako wanaiba , wasichana wao ndio usiseme kwa umalaya. Kuna kesi mbili za wa Polish walipewa kazi vijijini mashambani na wazee wa kiswedish walikaa siku mbili siku ya tatu wakawakamata wazee wakawauwa wakaiba kila kitu cha thamani wakaondoka . Hawa watu hawana dini. Kuna kesi nilisoma kuna wapolish walimkata kata mtu wakamtia kwenye begi halafu wakalitupa vichakani. Kijana wewe huelewi watu wa easten block , hivi waulize waliokwenda kusoma Urusi , polanda na nchi nyengine za eastern hao watu wako vipi ??
 
Mkuu Ulaya imeshaharibika Kwa sasa watu middle east na west Africa wameiharibu sana naona sasa wanahamia Asia kama na huko wakiwachekea ndio kwisha

Ulaya imeharibika kwa kuwakaribisha watu kutoka Eastern block ambao walikuwa hawana dini. hayo ni matatizo . hali hiyo hiýo ni kwa Zanzibar imeharibika baada ya kuungana na Tanganyika
 
Zanzibar bikra hawana marinda.
 
Ulaya imeharibika kwa kuwakaribisha watu kutoka Eastern block ambao walikuwa hawana dini. hayo ni matatizo . hali hiyo hiýo ni kwa Zanzibar imeharibika baada ya kuungana na Tanganyika
Sehemu kubwa ya Ulaya kuharibika sio Kwa sababu ya ulaya mbovu ni jamii ya watu middle east ambao wanalazimisha tamaduni zao zifwate na wenyeji.

Ulaya mbovu na Ulaya safi wamekuwa na maugobi yao ya muda mrefu lakini hayakuwa sehemu ya uharibifu mkubwa kama wa sasa unaofanywa na hawa watu kutoka middle east
 
R.i.p prof. Y. Bwatwa..ulirudi bongo na PHD in early years of Tanganyika independence from American alisoma huko diploma mpaka PhD.

Ndie prof wake na prof ndarichako Mimi na prof. Bwatwa timeshare a moment for Life..

Prof. Bwatwa alikua ananambia Kila siku asubuh niwapigiw simu wazazi wangu kuwajulia Khali....

NB. Prof . Bwatwa alinifundisha watu wa Amerika wakitaka kusengenya au kuzungumza mtu Huwa wanakuomba ruhusa mtu anakuchana wazi wazi... American spirit Kiranga
Ukishasikia tu "with all due respect...." ujue ohoooo, mambo yashaharibika hapa. 😂😂😂
 
kama vile Salmini amour aliporuhusu Watanganyika kuingia zanzibar bila passport , crime ndipo ilipoanza kwa nguvu
Mkuu kwa nn unahisi watanganyika waliporuhusiwa kuingia zanzibar ndio crime ilipoanza?
Wazanzibar wao hawakua watu wa kufanya crime? Kwa nini unahisi wazanzibar hawakua watu wa crime?
 
Kwa sababu huko Tanganyika crime IKO ndani damu yako hasa Wakristo
 
Back
Top Bottom