Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

Ni kweli Sweden inaharibiwa na waislamu vyanzo ni vingi google kidogo tu uone.

Shida ni kwamba wanasiasa wa mlengo wa kushoto wanaalika wahamiaji wengi bila kujali vigezo ili wapate wapiga kura wakutosha.

Mwishowe wanaalika waislamu wenye misimamo mikali ambao wanapinga mifumo ya huko. Pia wengi ni masikini hawafanyi kazi, hawana ujuzi.
Kwa nini unawaaddress kwa kutumia dini? Kwa nini usiseme wahamiaji ndio wanaofanya uhalifu sweden?

Ina maana wahamiaji wengine ambao sio waislam hawafanyi uhalifu?

Hao wahalifu wanafanya uhalifu kwa mgongo wa dini kama Boko Haram na Al shabab wanavyofanya? Au ni wahalifu tu Ila Imani yao ni uislam?

Nauliza hayo sababu kuna tofauti Kati ya Al shabab na muislam ambae anafanya uhalifu sababu ya tabia yake tu na si kwa mrengo wa dini. Ukienda South Africa wanalia na uhalifu wa wanaijeria, ukienda Dubai napo wanalia na uhalifu wa nigeria
 
Hata wasweden wanafanya makosa, sisi sote ni binadamu.

Lakini kuna wahamiaji waislamu wanatoka nchi zisizostaarabika huko Middle East na Pakistan, wanabeba tamaduni mbaya.

Tokea waanze kujazana huko, mashambulio ya mabomu yameibuka. Kuna muislamu mmoja alianzisha 2010. Fika 2019 kulikuwa na mashambulio zaidi ya 100.

Ni wakatili kwa wanawake. Waislamu wamebaka sana Sweden.

Wanaoana ndugu kwa ndugu, mabinamu wa karibu.

Wanakuwa wakorofi kwa mashoga, ambao wanalindwa na katiba ya Sweden.

Na bado wanataka sharia iingizwe kwenye sheria za Sweden.

Mhamiaji anapaswa ajichanganye na alipohamia(intergration), sio alete ubabe.
 
Idadi ya wananchi Sweden ni million 11. Waislamu ni 220,000 tu lakini ndio wengi jela na magerezani kwa makosa ya kuua, kubaka, wizi, madawa na vurugu. Labda mfungo wa ramadhani utasaidia.

adios amigo Jagina adriz Adiosamigo

Highest Identified LGBTQI+ Population: Recent studies (2025/2026) show that the Philippines has the highest share of people identifying as LGBTQI+ at 11%, while the United States and Thailand follow closely behind with 10% each.

Other data sources for 2025/2026 have noted high percentages in Brazil (14%), Canada and Sweden (12%), and the United States (11%).

Nchi zenye wakristo wengi hizo , zinaongoza kwa mashoga
 
Hata wasweden wanafanya makosa, sisi sote ni binadamu.

Lakini kuna wahamiaji waislamu wanatoka nchi zisizostaarabika huko Middle East na Pakistan, wanabeba tamaduni mbaya.

Tokea waanze kujazana huko, mashambulio ya mabomu yameibuka. Kuna muislamu mmoja alianzisha 2010. Fika 2019 kulikuwa na mashambulio zaidi ya 100.

Ni wakatili kwa wanawake. Waislamu wamebaka sana Sweden.

Wanaoana ndugu kwa ndugu, mabinamu wa karibu.

Wanakuwa wakorofi kwa mashoga, ambao wanalindwa na katiba ya Sweden.

Na bado wanataka sharia iingizwe kwenye sheria za Sweden.

Mhamiaji anapaswa ajichanganye na alipohamia(intergration), sio alete ubabe.

Pole sana kama unaogopa waislamu kwa kuwa ni wakorofi kwa mashoga
 
Hata wasweden wanafanya makosa, sisi sote ni binadamu.

Lakini kuna wahamiaji waislamu wanatoka nchi zisizostaarabika huko Middle East na Pakistan, wanabeba tamaduni mbaya.

Tokea waanze kujazana huko, mashambulio ya mabomu yameibuka. Kuna muislamu mmoja alianzisha 2010. Fika 2019 kulikuwa na mashambulio zaidi ya 100.

Ni wakatili kwa wanawake. Waislamu wamebaka sana Sweden.

Wanaoana ndugu kwa ndugu, mabinamu wa karibu.

Wanakuwa wakorofi kwa mashoga, ambao wanalindwa na katiba ya Sweden.

Na bado wanataka sharia iingizwe kwenye sheria za Sweden.

Mhamiaji anapaswa ajichanganye na alipohamia(intergration), sio alete ubabe.

Usidanganye watu waislamu wamejaa huko toka miaka ya 70s na wamefika kuongoza vyama vikubwa kama kile kinachoitwa Centre party, Chuki zako ziweke pembeni. Criminality imeanza baada ya kuruhusiwa nchi za Eastern block kujiunga na EU , kama vile Salmini amour aliporuhusu Watanganyika kuingia zanzibar bila passport , crime ndipo ilipoanza kwa nguvu.
 
Labda Balkans. Ila kitu ni kile kile Balkans wengi ni waislamu wa misimamo mikali.
 
Sasa ingefaa zaidi wabaki kwenye nchi zao ambapo mashoga hawaruhusiwi na sio kuingilia uhuru wa watu.

Kama umejipiga ni shoga pole sana , tutawaambia wabaki kwenye nchi zao , nasikia eti ukijipiga ukimbizi wa ushoga huwa wanakujaribu kwanza eti ni kweli hizo habari , nilisoma zamani gazeti moja liliandika hivyo
 
Labda Balkans. Ila kitu ni kile kile Balkans wengi ni waislamu wa misimamo mikali.

hakuna cha Balkans hao wapolish walioko huko nje ya nchi yao ni wengi kuliko walioko Poland. Hujaingia Bulgaria , Romania , Hungary , na hizo nchi za Serbia, Croatia na kwengineko. Niliwahi kuongea na Mromania mmoja anasema mshahara wa Engineer wa mwezi mzima ni sawa na mshahara wa siku moja wa Sweden . Kwa hali hiyo unafikiri kuna mtu atabaki huko ?? Hujenda Bulgaria na Poland ngoma ni hiyo hiyo
 
Sawa ila waliotoka kwenye balkan states walikuwa hatari zaidi kipindi hicho, sasa hivi hawana shida.
 
Waliotoka balkans ni wachache mno wengi ni wa Serbia hata yule aliyemuuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Sweden kwa kumchoma kisu alitoka Serbia, ni galatia la nguvu , wacha chuki na waislamu kijana

Assassination and conviction On the afternoon of 10 September 2003, Mijailo Mijailović attacked Swedish Minister for Foreign Affairs Anna Lindh, while she was shopping in the ladies' department at the NK department store in central Stockholm.
 
Ni kweli Sweden inaharibiwa na waislamu vyanzo ni vingi google kidogo tu uone.

Shida ni kwamba wanasiasa wa mlengo wa kushoto wanaalika wahamiaji wengi bila kujali vigezo ili wapate wapiga kura wakutosha.

Mwishowe wanaalika waislamu wenye misimamo mikali ambao wanapinga mifumo ya huko. Pia wengi ni masikini hawafanyi kazi, hawana ujuzi.
Mkuu Ulaya imeshaharibika Kwa sasa watu middle east na west Africa wameiharibu sana naona sasa wanahamia Asia kama na huko wakiwachekea ndio kwisha
 
Walöiotoka balkans ni wachache mno wengi ni wa Serbia hata yule aliyemuuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Sweden kwa kumchoma kisu alitoka Serbia galatia la nguvu , wacha chuki na waislamu kijana

Assassination and conviction On the afternoon of 10 September 2003, Mijailo Mijailović attacked Swedish Minister for Foreign Affairs Anna Lindh, while she was shopping in the ladies' department at the NK department store in central Stockholm.
Sina chuki na waislamu ni kwamba tu waislamu hawawezi kujichanganya na tamaduni zingine.
 
Back
Top Bottom