Sweden waislamu ni laki mbili tu lakini wamejaa magerezani

Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.

Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.
Una moyo sana.

Mkuu kwa nn unahisi watanganyika waliporuhusiwa kuingia zanzibar ndio crime ilipoanza?
Wazanzibar wao hawakua watu wa kufanya crime? Kwa nini unahisi wazanzibar hawakua watu wa crime?
Nilipokuwa ulaya nilifikia kwenye Hostel moja ikiendeshwa na Catholics. Pale reception palikuwa na hawa tunawaita masister wa kizungu. Nilipompa Passport yangu akashangaa sana. Akaniuliza hivi kweli umetoka Zanzibar. Nikamwambia ndiyo. Akanianiambia 1957 aliishi Zanzibar na akaniambia wakati huo kulikuwa hamna jela , kwa sababu kulikuwa Hakuna crime . Akaniuliza vipi hivi sasa . Nikamwambia Mambo yamebadilika sana Zanzibar haipo Hiyo ni mwaka 1988
 
Sawa wajichanganye vipi ?? unataka waingie tamaduni za kulewa , kufirana , kuoana wanaume kwa wanaume wanawake kwa wanawake , kula unga au vipi ??
Nchi za Ulaya zilipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa maeneo ya umma kwa sababu za usalama ilikuwa shida kubwa sana.
 
Ukishasikia tu "with all due respect...." ujue ohoooo, mambo yashaharibika hapa. 😂😂😂
Kingine alicho nambia Huwa wanajali sana muda..

Hata yule mzee alikua yupo panctual sana sanaa.

Hapo kwenye kuzungumza mtu lazima umuombe ruhusa unae taka kumzungumza sisi wa bongo HATUWEZI SANA SANAAAAAA TUTACHEKEANA USONI UKIGEUKA JAMAA ANA ANZA KUKUSEMA VIBAYA.
 
Nchi za Ulaya zilipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa maeneo ya umma kwa sababu za usalama ilikuwa shida kubwa sana.
shida gani na nchi zipi mbona hiyo sweden wanavaa
 
Sasa kama walikuwa hawataki waziri mkuu shoga si wangebaki huko Pakistan na Afghanistan wanapolipuana mabomu na kuchapana viboko.

Kwani unafikiri kuna waislamu wageni tu , hao wafaransa wenyewe wanasilimu kwa maelfu kila siku na wanakuwa ngangari kuliko hao walioko Pakistan. hukuona ile program ya wale waliokwenda kupigana Syria waliotoka Ufaransa , ilirushwa na Aljazeera
 
Unaongelea vita Mimi naongelea wizi, umalaya, ujambazi . Hizo nchi hayo Mambo hamna
Sudan, Somalia hakuna wizi? Hakuna umalaya Wala ujamnbazi? Mkuu umeandika ikiwa serious? Hivi huo mnaoa raha gani kuongopa?
Nchi maskini sana na za hovyo kama hizo unasema hakuna umalaya wala ujambazi?
 
Kwani unafikiri kuna waislamu wageni tu , hao wafaransa wenyewe wanasilimu kwa maelfu kila siku na wanakuwa ngangari kuliko hao walioko Pakistan. hukuona ile program ya wale waliokwenda kupigana Syria waliotoka Ufaransa , ilirushwa na Aljazeera
Hakuna mzungu anayejifunika gubigubi Ulaya kama yuko chini ya Taliban au Al-Shabab na pia Kobaz Ulaya wanaoengezeka kwa kuzaliana sio kubadilisha wenyeji dini.
 
Sudan, Somalia hakuna wizi? Hakuna umalaya Wala ujamnbazi? Mkuu umeandika ikiwa serious? Hivi huo mnaoa raha gani kuongopa?
Nchi maskini sana na za hovyo kama hizo unasema hakuna umalaya wala ujambazi?

Unaniambia nchi yenye vita , of course hapo wamesema wameingia watu waliovaa military uniform . Angalia mwenyewe huku ambako hakuna vita hali ikoje

View: https://youtu.be/iCDQpm6f_pU?t=154
 
Nilipokuwa ulaya nilifikia kwenye Hostel moja ikiendeshwa na Catholics. Pale reception palikuwa na hawa tunawaita masister wa kizungu. Nilipompa Passport yangu akashangaa sana. Akaniuliza hivi kweli umetoka Zanzibar. Nikamwambia ndiyo. Akanianiambia 1957 aliishi Zanzibar na akaniambia wakati huo kulikuwa hamna jela , kwa sababu kulikuwa Hakuna crime . Akaniuliza vipi hivi sasa . Nikamwambia Mambo yamebadilika sana Zanzibar haipo Hiyo ni mwaka 1988
Mkuu huwa mnaona raha gani kuongopa?
Hapo umetolea mfano 1957(kabla ya muungano) unataka kuonyesha kabla ya muungano Zanzibar palikua fresh.
Nikuulize swali: Nani alianzisha biashara ya utumwa Zanzibar?

Sehemu anbayo biashara ya utumwa ilishamiri na kukawa na soko kubwa la utumwa unasema palikua vizuri kabla ya muungano?
 
Unaniambia nchi yenye vita , of course hapo wamesema wameingia watu waliovaa military uniform . Angalia mwenyewe huku ambako hakuna vita hali ikoje

View: https://youtu.be/iCDQpm6f_pU?t=154

Unafikiri nchi zenye maasi sehemu zote huwa pabovu?
Unafikiri wizi uliookuwepo dar na sshemu za mijini ndio upo nchi nzima?

Sudan na Somalia ni nchi maskini, sifa za nchi maskini za kiafrica wala haihitaji kuuliza sifa zake ni zipi
 
Back
Top Bottom