Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

JalfMoney,
Anayefaidika na misaada hiyo ni Nani? Mhe Rais na familia yake au wanzazengwe wa Ukoo wako
 
Wategemee Mengi sana, Watalii watakoma make watatishwa, hatutauza vipamba vyetu, na vikorosho, eti kuna magaidi Tanzania msiende, siyo salama kule! na hatutakaa, sababu ya kiburi cha mtu mmoja kwa nini?

WTO lao moja, magari poa hatutapata tena! nchi ilitengenezwa na Kikwete hela zikawa nyingi, wawekezaji bwenabwena!

Huyu maskini Jiwe sasa akalewa zile hela kwa kiburi. kununua midege! anajisifia yeye badala ya yule alofanya mipango hela zije!
 
britanicca,
Duh!!! Twafwa!!! Nakumbuka kipindi kile Nyerere alivyowekewa ngumu na mataifa ya magharibi tukawa na madaftari ya kaya tukibembeleza sembe, sukari, mchele etc kwa wajumbe wa nyumba kumi!!!!
 
Anayefaidika na misaada hiyo ni Nani? Mhe Rais na familia yake au wanzazengwe wa Ukoo wako
ANAYE FAIDIKA NA HIYO MISAADA NI MAGUFURI, BASHITE NA GENGE LAO. KWA HIYO NI VIZURI IKATWE TUKOSE WOTE.
 
Iondolewe alafu we unavoona upinzan nan ana akili timama ya kuongoza nchi? Lema? Mbowe?halima mdee?

Wewe kwa vile huna akili timamu huwezi kuelewa. Endelea kusifu na kuabudu binadamu mwenzako.
 

hahah!
Unamzungumzia DR. wa Mihogo
 
Tunachokosea wengi ni kudhani Sweden ni dude fulani hivi, hapana Sweden ni watu na ndio wanaofanya maamuzi na sio kwamba wao ni malaika kwamba hawakosei. Binafsi naona ni maslahi ya atu flani yanakosekana kama walivyozoea hapo awali hivyo wanatumia mamlaka yao. Kuna tahira mmoja anasema nchi inanyonywa na Magu lakini juzi tu trump amebainika kuwa tangu aingie madaakani hajawahi lipa kodi ya biashara zake, hili likibainika hapa kwetu kuna mbwa watapiga kelele kuomba msaada nje. Hakuna nchi imewahi pitia wakati usio mgumu wakati wa kujijenga, hata hayo mataifa ya ulaya masuala ya kodi wameyazoea kwa sababu kizazi kilichopo imekuta utaratibu huo, huku kwetu ilitakiwa haya mambo yamalizwe na hayati mkapa.
 
Tanzania haiwezi kupotea kwa kukosa misaada
 
Tanzania haiwezi kupotea kwa kukosa misaada
Wewe ni jingalao!Unaelewa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya budget yetu huwa inategemea misaada ya wazungu?Unaelewa kuwa bila wazungu ni hakuna afya,ni hakuna elimu,ni hakuna maji,e.t.c?Unafikiri kwa kutumia akili gani?Nikikuita kuwa wewe ni jingalao nitakuwa nimekuonea?
 
Kama unaamini nchi haiwezi kusonga mbele bila hao wazungu, vivyo hivyo huwezi kutegemea aliyenacho haoa nchini atakuacha uwe huru na uishi kwa haki zako.

Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Jikomboe kiuchumi hapo ndipo utakuwa na nguvu ya kudai haki yako.

Porojo kwamba CHADEMA itakuwezesha uwe huru ni kukudanganya uwape kura waingie madarakani ili waje kukutumia. Mtaji wa tajiri ni nguvu ya maskini.
 
Chini ya kamanda wa ardhi bwana magufuli nchi hii itakuwa tajiri kuzidi mataifa yote ya afrika
 
Ndio maana huyo mtu wenu anasema tz haiwezi kuishi bila mabebeu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…