Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

😃😃pembejeo zitakuwa haziji....mtakuwa mnalima kilimo cha wasiwasi
 
Tafadhali wasikate tuu ruzuku kwenye shirika ninalofanya kazi. SIDA wananiweka Sana mjini.
SIDA mmeambiwa mjipange upya kujua mtakavyo endesha shughuli zenu baada ya fungu kupunguzwa.

Watu wanashangilia lakini ane enda kupata shida sio makonda au Magufuli pekee.
Wazungu tuna walauu bure lakini wao wanatekeleza kile wanacho omba wananchi wenzetu. Siasa zikizidi ni vurugu.
 
heee! nilidhani ni uzushi kumbe ni kweli!
kweli mambo mapya na mwaka mpya
 
Kwa tusioelewa tunaomba utufafanulie hapa "...tougher grip on LGBT people"
Wanataka nini ndo watupe hela zao?
 
hatare, yule bwana mkubwa akishasema kitu nchi za ulaya huwa zinafuata humo humo, angalia hata iran kinachotokea
 
Donner Country sasa tunataka tuwaone mkisimama kwa miguu yenu. Kutwa kutukana wakoloni wakati wakoloni walishajindokoe miaka zaidi ya 50 sasa.
Hii tabia yako ya kuji exclude, eti tuwaone! Utadhani upo Congo huko jimbo la Kivu 😍 😍 😍
 
Ohoooo ndio kwanza Leo Jumapili? Hadi ikifika Jumapili kama Leo tutakua tumenyooka kama nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vikwazo wamechelewa saaana mkuu.
Hii misaada imetuchelewesha sana kuendelea. Tumekuwa kama vilema wakati Mungu alitupa kila kitu.
Waache waondoke ndo tupate akili na kujua kuwa ni aibu kutegemea jirani akutibie, akusomeshee na akulishie watoto wako.
 
Membe uko wapi Baba tunaangamia huku!!
Huyo jamaa muda huu anacheka tu

mambo ambayo yaliyokuwa yanafanywa na ccm na serikali kuu ni ya kipumbavu na yakijinga as if wanaishi dunia ya peke yao..... idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…