Nawaambia viongozi. Ila kimoyo kimoyo naogopa kununua mkate mmoja shilingi elfu kumi. Zimbabwe hii hapa naiona. Mungu atunusuru na hili janga.Hii tabia yako ya kuji exclude, eti tuwaone! Utadhani upo Congo huko jimbo la Kivu π π π
Well said lakini huwa wenzetu hawaondoki kwa style kama hiiHivi vikwazo wamechelewa saaana mkuu.
Hii misaada imetuchelewesha sana kuendelea. Tumekuwa kama vilema wakati Mungu alitupa kila kitu.
Waache waondoke ndo tupate akili na kujua kuwa ni aibu kutegemea jirani akutibie, akusomeshee na akulishie watoto wako.
Umeongea jambo la msingi sana ndugu yangu, sote hatuyapendi haya yatukute maana sisi wa chini ndo tunaumia...lakini wa kubadilika ni serikali ya Magufuli na watu wake na wala si sisi...sasa kama wao hawataki kubadilika unadhani sisi tunafanyaje?Hilo sio Jambo la kushadidia km tunavyofanya ndg zangu watanzania. Kupunguza misaada kwa nchi yetu km Taifa waathirika Ni sisi watu wa chini lbdavkm anayeshabikia Ni tabaka la juu. Ni ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi na familia yangu tumekosa Nini mkuu mpk zigo la ushuhuda liniangukie mm. Kwanini lisiwaangukie wale wa mjengoni ?
Ni kweli ndugu lakini kumbuka wakiamulia kukalia kooni hawa mabeberu hayo madini utayaona kama kama nyasi tu au sanjari na majani ya miti yasikuwa na maana au lolote, hakuna nchi hata moja ya Kiafrika achana na Tanzania inayoweza kutunisha kifua juu ya hawa watu. Wakati mwingine nahisi Mungu aliwapendelea sana....mnajifariji tu kisema kuwa Tz ni nchi tajiri ni kweli sisi matajiri ila hao tunawategemea pakubwaHatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini
Msimamo wa waziri Peter Eriksson kuhusu haki za binadamu na uhuru wa kujieleza 13 May 2019 Minister for International Development Cooperation Peter Eriksson talks about the most important political issues during this electoral period and what changes he wants to see. Source: Regeringskansliet
Kwani Ndege tumenunua kwa misaada, Barabara tumejenga kw Misaada n.k kwani wanaotoa misaada kwao kukoje na Fedha wanazitoa wapi?Hivi kwani serikali ya sasa inategemea wafadhili?
[emoji3]