Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #21
Kila mtu apewe chake au sio??🤣🤣Mama mkubwa apewe maua 💟 , baba yako apewe nishani yake 👨🎓 mama mzazi asamehewe tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu apewe chake au sio??🤣🤣Mama mkubwa apewe maua 💟 , baba yako apewe nishani yake 👨🎓 mama mzazi asamehewe tu,
SAhihi kabisaWazee wetu walikua na misimamo na wakina mama pia walipata malezi Bora ya ndoa,ndoa ilikua kitu Cha thamani sio Sasa ndoa fashion uliemuoa tayari ashapitiwa na wazee umri wa babako mwanamke dizaini hiyo awezi kukuheshimu.
Alijionea isiwe tabu...kuna muda huwa nahis labda hakunipenda may be ndio maana aka give up on me easly.!!Mama angu naye alikua mtata sana plus usomi hakutaka kuleta unyonge akapiga chini mtoto na baba yake 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimependa story yako.....ndoa za zamani zilikua na uvumilivu usio kuwa na mfano, sipati picha wanawake sie wa leo nna kichanga ndani baba aje na kichanga kingine dah!!!Alijionea isiwe tabu...kuna muda huwa nahis labda hakunipenda may be ndio maana aka give up on me easly.!!
Moto lazima uwake tuuu hakuna namnaNimependa story yako.....ndoa za zamani zilikua na uvumilivu usio kuwa na mfano, sipati picha wanawake sie wa leo nna kichanga ndani baba aje na kichanga kingine dah!!!
Aisee...Hiv kumbe hiz background zetu wengi huwa kwa namnaa moja au nyingine ni rahis kukuta zinaendana endana.Ni ngumu sana kukuta mtu una background history ya peke ako completelly..hongera sana mkuu endelea kuwa thamini hao ni ndugu zako pia huyo dada ako usimtupe.mimi pia nimelelewa na mama wakambo nashukuru mpaka nimekua,mama angu nimekuja kumjua baada ya kujitambua ,namheshimu kama mama angu mzazi lakini mapenzi yangu yote yapo kwa mama wakambo coz njaa tulishinda wote, baba angu ni dizain ya baba ako,baada ya kuoa wanawake wawili ,akaona wana anza kumchanganya mara wamroge, akachanganyiwa aka amua achukue uamuzi mgumu,akafukuza wake wote ,tukabaki watoto wa mke mkubwa na mdogo. baadae akaoa mke mwingine ndo tukalelewa na huyu mama mpaka tumekua na kujielewa na watoto wote tumesomeshwa.nakuja kujuana na maza mzazi ana anza kupakaza sumu ohh babayenu mbaya, nikicheki katelekezwa na kazalishwa na wazee wa kihuni.nakuja kusimuliwa na dingi kipindi cha mimba yangu waligombana akataka anywe mafuta ya moto aitoe, nawa shangaa wanao sema nani kama mama, baba wanashindwa kumpa maua yake.nani kama mama ambaye anatupa mtoto chooni,nani kama mama ambaye yuko radh atoe mimba pale anapogombana
asante mkuu,ndoivo MUNGU ni mwema,kila hali anayopitia mtu ujue kuna mwingine anapitia hali kama hiyoAisee...Hiv kumbe hiz background zetu wengi huwa kwa namnaa moja au nyingine ni rahis kukuta zinaendana endana.Ni ngumu sana kukuta mtu una background history ya peke ako completelly..
Big up mkuu!.
AhahahahahaHilo sweta likawekwe makumbusho ya taifa.
I agree chiefasante mkuu,ndoivo MUNGU ni mwema,kila hali anayopitia mtu ujue kuna mwingine anapitia hali kama hiyo