Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate kwetu alikuwa na uwezo sawa na graduate wa ulaya kwa maana ya material covered na haya yote wazungu walifanya, kama ni kweli walitudharau kama communists walivyotuamianisha si hata basi wangeshusha elimu yetu?
Lakini tulifanya mitihani sawa, topics sawa, a-level high school graduate wa afrika alikuwa anafanya mtihani mmoja na a- level graduate wa ulaya, hivyo pcm graduate wa tanzagiza alikuwa sawa na pcm graduate wa ulaya na hata mitihani ilisahihishwa huko.
Communst walitudanganya sana tumelelewa kuwachukia Christians na kuwaita wakoloni lkn in reality walitusadia sana, na communists hawataki tuendelee ndiyo maana wanatuambia ni adui, kila mahali ni hivyo hata kwenye uhasibu tu sylabus ya cpa ilikuwa sawa na ulaya, karibia kila kitu kilikuwa sawa.
Tumepoteza karibia karne nzima na kubakia nyuma sababu ya kufwata communists manifesto ...