Uchaguzi 2020 Sylvester Mujuni 'Mpoki' achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni

Assume hao wote wameunda kamati Ya Ukaguzi wa hesabu za serikali (PAC) huku Mwenyekiti wa kamati hio ni Babu tale.

Unapata bunge la kisayansi hapo.
Babu Tale ana CPA usimchukulie poa
 
Msanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.

Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.

Maendeleo hayana vyama!

======

Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

1594912702605.png
 
Pale ambapo idadi ya waliochukua form inazidi namba ya wapiga kura. Bongo raha sana
 
Msanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.

Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.

Maendeleo hayana vyama!

======

Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

View attachment 1508593

SAHIHISHO :
anaitwa MUJUNI SLYIVERY
 
Back
Top Bottom