Sylvia Mulinge back at Safaricom after Tanzania blocks appointment

Your great goal was jealousy.
Hakuna haja ya kutafuta kiswahili mingi. Uzi wa kwanza wa hii mada ulikuwa wa kuambia Magufuli asimpe work permit kwa sababu kuna Watanzania wengi wanaweza hio kazi.

Wivu kwa sababu yeye ni Mkenya. Angekuwa Mhindi au mzungu au Mwafika kusini, haya yote hayangetokea.

Lakini la kushangaza ni kwamba mnashangilia kwamba 'you have finished her'. Hayo ndiyo maneno mliyotumia.
Nadhani mnafaa mtumie kamusi muelewe maana ya maneno mnayotumia.

'Finished her' implies her career is over. But the truth is she still continues to work for the biggest company in East and Central Africa, on senior managerial position.
Wewe, Geza na account zote za Geza mnaoshangilia kwamba 'you've finished her', siwezi shangaa kuwa mnapata tabu ata kununua bundles za kuandika ujinga hapa.
Maskini mjinga anashangilia kwamba 'ame finish' tajiri. Bongolala kweli.

that's your assertion. for our side, no one is thinking to ruin her carrier. this's why, we have zero effects to her if you give bigger salary than Uhuru. hata mkimpa urais sisi hatumo. hayo ni YENU.
 
Different matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.

Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.

Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.

inabidi ujichunguze kwa unyoofu bila kujipendela wala kujionea, kwa NINI wewe tu.
 
Maybe they are not professionals.
Heri hivyo hawakuja maana wangeua wakenya wengi in the name of treating them. Ile chuki mko nayo dhidi ya wakenya haina kifani.
sasa huyu silvia ambaye kitaaluma ni nutritionist ndo mliona anafaa kuongoza telcom company? nani kawaambia vodacom kuna restaurant?
Different matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.

Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.

Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
Sio mulinge pekee aliyekosa sifa wapo mining engeneers kutoka urusi wamekataliwa pia kwa kigezo kilekile cha kukosa sifa
 
that's your assertion. for our side, no one is thinking to ruin her carrier. this's why, we have zero effects to her if you give bigger salary than Uhuru. hata mkimpa urais sisi hatumo. hayo ni YENU.

I bet she was earning more than Uhuru's salary and will continue earning more.
Which makes me continue wondering how "you have finished her".
 
Sijawahi kuona ubaya wa wakenya kufanya kazi tz maana hata sisi kama tutakuwa na elimu nzuri tutawashinda na kuchukua kazi zote
 
I bet she was earning more than Uhuru's salary and will continue earning more.
Which makes me continue wondering how "you have finished her".

Ahaaa haaa haaa
naona inakuuma bro, usiumie MAANA maisha ni popote bro. na hiyo siyo mwisho wa carrier au maisha yake. so broda calm down.
 
Different matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.

Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.

Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
Hao ndio wakenya walivyo, wakifanya wao ni sawa ila wakifanya watu wengine utasikia wakilalamika kama a woman in bed, roho mbaya na ubinafsi ndio kinachowasumbua
 
Lakini nanyinyi simliwakataa madaktari kutoka Tanzania kwa kigezo kenya ina madaktari wakutosha, sasa tabu iko wapi?
Hao ndio wakenya walivyo, wakifanya wao ni sawa ila wakifanya watu wengine utasikia wakilalamika kama a woman in bed, roho mbaya na ubinafsi ndio kinachowasumbua
 
Nani asiyejua kuwa ni agent wa serikali ya Kenya? yaani aje kuffanya kazi maalumu ya kudukua mawasiliano yetu? arudi hukohuko na masafari kom yenu sisi tume ngashtuka msee!!
 
sasa huyu silvia ambaye kitaaluma ni nutritionist ndo mliona anafaa kuongoza telcom company? nani kawaambia vodacom kuna restaurant?

Sio mulinge pekee aliyekosa sifa wapo mining engeneers kutoka urusi wamekataliwa pia kwa kigezo kilekile cha kukosa sifa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom