Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Your great goal was jealousy.
Hakuna haja ya kutafuta kiswahili mingi. Uzi wa kwanza wa hii mada ulikuwa wa kuambia Magufuli asimpe work permit kwa sababu kuna Watanzania wengi wanaweza hio kazi.
Wivu kwa sababu yeye ni Mkenya. Angekuwa Mhindi au mzungu au Mwafika kusini, haya yote hayangetokea.
Lakini la kushangaza ni kwamba mnashangilia kwamba 'you have finished her'. Hayo ndiyo maneno mliyotumia.
Nadhani mnafaa mtumie kamusi muelewe maana ya maneno mnayotumia.
'Finished her' implies her career is over. But the truth is she still continues to work for the biggest company in East and Central Africa, on senior managerial position.
Wewe, Geza na account zote za Geza mnaoshangilia kwamba 'you've finished her', siwezi shangaa kuwa mnapata tabu ata kununua bundles za kuandika ujinga hapa.
Maskini mjinga anashangilia kwamba 'ame finish' tajiri. Bongolala kweli.
Lakini nanyinyi simliwakataa madaktari kutoka Tanzania kwa kigezo kenya ina madaktari wakutosha, sasa tabu iko wapi?
Different matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.
Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.
Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
sasa huyu silvia ambaye kitaaluma ni nutritionist ndo mliona anafaa kuongoza telcom company? nani kawaambia vodacom kuna restaurant?Maybe they are not professionals.
Heri hivyo hawakuja maana wangeua wakenya wengi in the name of treating them. Ile chuki mko nayo dhidi ya wakenya haina kifani.
Sio mulinge pekee aliyekosa sifa wapo mining engeneers kutoka urusi wamekataliwa pia kwa kigezo kilekile cha kukosa sifaDifferent matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.
Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.
Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
that's your assertion. for our side, no one is thinking to ruin her carrier. this's why, we have zero effects to her if you give bigger salary than Uhuru. hata mkimpa urais sisi hatumo. hayo ni YENU.
Wanaume wenye mandevu tena viongozi wametishiwa na mwanamke kabisaaa...wanaume bwege.Nimeiona hii mkuu.View attachment 879520
I bet she was earning more than Uhuru's salary and will continue earning more.
Which makes me continue wondering how "you have finished her".
Pambaneni na hali zenusasa huyu silvia ambaye kitaaluma ni nutritionist ndo mliona anafaa kuongoza telcom company? nani kawaambia vodacom kuna restaurant?
Sio mulinge pekee aliyekosa sifa wapo mining engeneers kutoka urusi wamekataliwa pia kwa kigezo kilekile cha kukosa sifa
Nimeiona hii mkuu.View attachment 879520She is cute,
Hao ndio wakenya walivyo, wakifanya wao ni sawa ila wakifanya watu wengine utasikia wakilalamika kama a woman in bed, roho mbaya na ubinafsi ndio kinachowasumbuaDifferent matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.
Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.
Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
Hao ndio wakenya walivyo, wakifanya wao ni sawa ila wakifanya watu wengine utasikia wakilalamika kama a woman in bed, roho mbaya na ubinafsi ndio kinachowasumbuaLakini nanyinyi simliwakataa madaktari kutoka Tanzania kwa kigezo kenya ina madaktari wakutosha, sasa tabu iko wapi?
Alichofanya Kioko alipokuja kama CEO wa Precision Air yaweza kuwa sababu.Wakenya walikufanyia nini?
Alifanya nini?Alichofanya Kioko alipokuja kama CEO wa Precision Air yaweza kuwa sababu.
Vv
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]sasa huyu silvia ambaye kitaaluma ni nutritionist ndo mliona anafaa kuongoza telcom company? nani kawaambia vodacom kuna restaurant?
Sio mulinge pekee aliyekosa sifa wapo mining engeneers kutoka urusi wamekataliwa pia kwa kigezo kilekile cha kukosa sifa
hahaha hypocrites, Sylvia is a great mindJombaa, vodacom walishamteua mmisri sio mtanzania. Itabidi muanze tena shughuli ya kubwaga chini uteuzi huo pia.