Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yake hayajakamilikaKwani wakati huo Syria ilikuwa inatawaliwa na nani na sasa wanatawala nani?
Maana Baathists wanaitawala Syria tokea mwaka 1963. Na Hafez Al Assad kawa rais kuanzia mwaka 1971 mpaka kifo chake mwaka 2000. Alipokufa Hafez, Abdul-Halim Khaddam akawa rais wa mpito kwa mwezi mmoja, kisha Bashar Al Assad, mwanae Hafiz, akachaguliwa kuwa rais na ndio rais tokea Julai 2000 mpaka leo.Maelezo yake hayajakamilika
Ndio maana Mashariki ya Kati Wana mpenda Binyamin NetanyahauKobazi alaaniwe
Hawa ni watu ambao hawana kazi, wana udini na chuki muda wote kiasi kwamba muda wote anawaza udini tu. Watu wa aina hii hata uwezo wao wa kufikiri na akili huwa wa chini.Hii ni kati ya mijadala ya kipumbavu huku bongo kati ya waislamu na wakristo ๐ค
Sio udini, mnaonyeshwa udini na ukabila unavyoweza kuwarudisha stone ageHawa ni watu ambao hawana kazi, wana udini na chuki muda wote kiasi kwamba muda wote anawaza udini tu. Watu wa aina hii hata uwezo wao wa kufikiri na akili huwa wa chini.
Kwa hiyo Qatar imerudishwa Stone Age? Hebu tuwaze vitu vya msingi na faida, dini haikuletei ugali ndugu.Sio udini, mnaonyeshwa udini na ukabila unavyoweza kuwarudisha stone age
Hakuna mtu kaongelea Qatar, ni ndugu zako wa Al ShababKwa hiyo Qatar imerudishwa Stone Age? Hebu tuwaze vitu vya msingi na faida, dini haikuletei ugali ndugu.
Au nabishana na Mlokole.
Sure broHawa ni watu ambao hawana kazi, wana udini na chuki muda wote kiasi kwamba muda wote anawaza udini tu. Watu wa aina hii hata uwezo wao wa kufikiri na akili huwa wa chini.
Kipindi hicho Syria ilikuwa ni nchi yenye viongozi wanaoheshimu dini zote na kuwatreat raia wake wote kwa usawa. Viongozi walikuwa wana-focus na mambo muhimu siyo kulazimishana kuvaa hijabu na kanzu.Kwani wakati huo Syria ilikuwa inatawaliwa na nani na sasa wanatawala nani?
Ni mtawala gani wa Syria tokea mwaka 1963 kalazimisha watu kuvaa hijab na kanzu? Unajua kuwa baathists ni masekula kabisa? Unajua kuwa akina Assad mbali na kuwa ni baathists ni ma Nusayri ambao sio Waislam? Nina mashaka na uelewa wako kuhusiana na akina Assad na baathists kwa ujumla. Japo najua wewe ni Islamophobe humu. Na umekurupuka kuleta uzi huu kwa ujinga ili uushambulie Uislam lakini ndio hivyo huelewi mambo.Kipindi hicho Syria ilikuwa ni nchi yenye viongozi wanaoheshimu dini zote na kuwatreat raia wake wote kwa usawa. Viongozi walikuwa wana-focus na mambo muhimu siyo kulazimishana kuvaa hijabu na kanzu.
Ndugu yangu naomba unileteee video ya syria 2003 kabla haujaaniita islamophobe. Mimi sichukii uislamu bali yliyeleta uislamu afrika. Hizi dini sio zetu labda wewe mwenzangu Mwarabu .Ni mtawala gani wa Syria tokea mwaka 1963 kalazimisha watu kuvaa hijab na kanzu? Unajua kuwa baathists ni masekula kabisa? Unajua kuwa akina Assad mbali na kuwa ni baathists ni ma Nusayri ambao sio Waislam? Nina mashaka na uelewa wako kuhusiana na akina Assad na baathists kwa ujumla. Japo najua wewe ni Islamophobe humu. Na umekurupuka kuleta uzi huu kwa ujinga ili uushambulie Uislam lakini ndio hivyo huelewi mambo.
Nakuletea nyingine wanawake wakiandamana kupinga sera ya kulazimishwa kuvaa hijab ya Ayatollah Khomeini Iran 1979 . Tatizo mnakazia vitu visivyo na umuhimu ndio maana hamuendelei.Ni mtawala gani wa Syria tokea mwaka 1963 kalazimisha watu kuvaa hijab na kanzu? Unajua kuwa baathists ni masekula kabisa? Unajua kuwa akina Assad mbali na kuwa ni baathists ni ma Nusayri ambao sio Waislam? Nina mashaka na uelewa wako kuhusiana na akina Assad na baathists kwa ujumla. Japo najua wewe ni Islamophobe humu. Na umekurupuka kuleta uzi huu kwa ujinga ili uushambulie Uislam lakini ndio hivyo huelewi mambo.
Kumbe Syria miaka iyo Kuna maghorofa, Kuna zebra, watu wanavaa pamba Kali, wanalalia magodoro, Kuna umeme,maji na miundombinu mingi Sanaa.