Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umezungumzia Syria lakini unatolea mfano wa IRANNakuletea nyingine wanawake wakiandamana kupinga sera ya kulazimishwa kuvaa hijab ya Ayatollah Khomeini Iran 1979 . Tatizo mnakazia vitu visivyo na umuhimu ndio maana hamuendelei.View attachment 3141564
Yote yote point yangu ni kukazania udini ni ulimbukeniumezungumzia Syria lakini unatolea mfano wa IRAN
Iran inayokazania dini imezidiwa nini na tanzania isiyokazania dini?Yote yote point yangu ni kukazania udini ni ulimbukeni
Ndugu yangu Iran aliyekazia dini amewazidi nini wazungu ambao hawaswali mara tano kwa siku na hawaendi kuhiji ? Na bado ndugu zao wairan (wapalestina)kila kukicha wanauliwa kama mbwa na wayahudi ambao wapo hapo toka mwaka 1947. allah yupo wapi ? Kuna umuhimu wa kuswali mara tano kwa siku ? Nisaidie ndugu yangu. Hizi dini tumeletewa labda mwenzangu wewe ni mwarabu.Iran inayokazania dini imezidiwa nini na tanzania isiyokazania dini?
Piga haooNdugu yangu Iran aliyekazia dini amewazidi nini wazungu ambao hawaswali mara tano kwa siku na hawaendi kuhiji ? Na bado ndugu zao wairan (wapalestina)kila kukicha wanauliwa kama mbwa na wayahudi ambao wapo hapo toka mwaka 1947. allah yupo wapi ? Kuna umuhimu wa kuswali mara tano kwa siku ? Nisaidie ndugu yangu. Hizi dini tumeletewa labda mwenzangu wewe ni mwarabu.
Hii nchi imejaa mipumbavu mingi sana na JF ni kioo kinachotuonyesha uhalisia.....Hii ni kati ya mijadala ya kipumbavu huku bongo kati ya waislamu na wakristo 🤔
Kipindi cha shah Iran ilikua imeachwa Mbali na Tanzania, mtu yoyote abayetetea utawala wa Shah hajui Historia ya Iran, ni kama Vile mtu aje Tanzania aende Masaki akapige picha kadhaa halafu baada ya Miaka 50 aseme Tanzania ya Zamani ilikua nzuri sana wakati Nchi inanuka umasikini na ukosefu wa Elimu.Nadhani kachanganya na Iran..
Wakati utawala wa Mfalme Shah nchi ilikuwa na taswira ya kimagharibi!
Ayatollah wanachukua Nchi asilimia 24 tu ya wanawake ndio walikua wamesoma,Ndugu yangu Iran aliyekazia dini amewazidi nini wazungu ambao hawaswali mara tano kwa siku na hawaendi kuhiji ? Na bado ndugu zao wairan (wapalestina)kila kukicha wanauliwa kama mbwa na wayahudi ambao wapo hapo toka mwaka 1947. allah yupo wapi ? Kuna umuhimu wa kuswali mara tano kwa siku ? Nisaidie ndugu yangu. Hizi dini tumeletewa labda mwenzangu wewe ni mwarabu.
Kwa nini uwapime na wazungu na si wewe mtanzania au africa?..wasingekua wanaswali,wangewazidi marekani na ulaya?..kinachowafanya wawe nyuma ya marekani ni kuswali?..nyinyi tz/africa hamkomalii dini,mbona mpo nyuma ya wazungu?Ndugu yangu Iran aliyekazia dini amewazidi nini wazungu ambao hawaswali mara tano kwa siku na hawaendi kuhiji ? Na bado ndugu zao wairan (wapalestina)kila kukicha wanauliwa kama mbwa na wayahudi ambao wapo hapo toka mwaka 1947. allah yupo wapi ? Kuna umuhimu wa kuswali mara tano kwa siku ? Nisaidie ndugu yangu. Hizi dini tumeletewa labda mwenzangu wewe ni mwarabu.
Ndio nikuulize kwa nini Mungu wa wazungu ndioana nguvu kuliko Mungu wa Waarabu ?Huko juu nimetuma uthibitisho kuwa wankipunguza kuswali watafanikiwa. Si umeangalia huko juu watu wangapi wamevaa kanzu ? Watu wangapi wamevaa hijabu ?Kwa nini uwapime na wazungu na si wewe mtanzania au africa?..wasingekua wanaswali,wangewazidi marekani na ulaya?..kinachowafanya wawe nyuma ya marekani ni kuswali?..nyinyi tz/africa hamkomalii dini,mbona mpo nyuma ya wazungu?
Mara Syria, mara Iran. Au hujui tofauti ya hizo nchi? Au ndio unataka kubishana? Nakuona unaruka ruka tu. Vitu kama huelewi kaa kimya au uliza. Ila ndio hivyo chuki dhidi ya Uislam zinakusukuma na mambo yenyewe hata huelewi.Nakuletea nyingine wanawake wakiandamana kupinga sera ya kulazimishwa kuvaa hijab ya Ayatollah Khomeini Iran 1979 . Tatizo mnakazia vitu visivyo na umuhimu ndio maana hamuendelei.View attachment 3141564
Siyo chuki ndugu yangu naongea ukweli. Naomba uniambie mwarabu ameifanyia nini Tanzania zaidi ya kujenga misikiti na visima vya maji kwa ajili ya kutawadhia ?Mara Syria, mara Iran. Au hujui tofauti ya hizo nchi? Au ndio unataka kubishana? Nakuona unaruka ruka tu. Vitu kama huelewi kaa kimya au uliza. Ila ndio hivyo chuki dhidi ya Uislam zinakusukuma na mambo yenyewe hata huelewi.
Tumeshatoka Syria na Iran tunakuja Tanzania sasa sio? Huoni kwamba huna cha kusimamia mpaka unaruka ruka? Unaulizwa kuhusu Syria, mada umeanzisha mwenyewe unarukia waarabu wameisaidia nini Tanzania? Komaa katika uzi wako, usiruke ruke. Usiurefushe uzi wako kwa hoja zisizohusiana.Siyo chuki ndugu yangu naongea ukweli. Naomba uniambie mwarabu ameifanyia nini Tanzania zaidi ya kujenga misikiti na visima vya maji kwa ajili ya kutawadhia ?
Nimekuambia niletee picha ya Syria za miaka ya 2000 upo kimyaTumeshatoka Syria na Iran tunakuja Tanzania sasa sio? Huoni kwamba huna cha kusimamia mpaka unaruka ruka? Unaulizwa kuhusu Syria, mada umeanzisha mwenyewe unarukia waarabu wameisaidia nini Tanzania? Komaa katika uzi wako, usiruke ruke. Usiurefushe uzi wako kwa hoja zisizohusiana.
Nilikuuliza miaka ya 70 Syria ilitawaliwa na nani na sasa inatawaliwa na nani?
Syria miaka ya 70 ilikuwa inatawaliwa na nani na sasa inatawaliwa na nani?Nimekuambia niletee picha ya Syria za miaka ya 2000 upo kimya
Unamuongelea Ustaadh Abubakar Chalamila?Hawa ni watu ambao hawana kazi, wana udini na chuki muda wote kiasi kwamba muda wote anawaza udini tu. Watu wa aina hii hata uwezo wao wa kufikiri na akili huwa wa chini.
Saudi Arabia kabla haija"kimbia mtego" kama unavyodai na UAE kabla "hawajalegeza sheria" kama unavyodai walikuwa na vita gani na umasikini wao unaulinganisha/ungeulinganisha na nchi gani katika nchi za duniani?Kuna jamaa nilimsikia mahali anasema kiongozi wa UAE anaharibu ile nchi since amelegeza baadhi ya sheria ili ziwape favoe watu wa imani zote.
Kuna baadhi ya waumini wanaamini ukiamua kuongoza nchi yako kwa amani na upendo basi wewe hufai.
Furaha yao ni kuona nchi ina migogoro kama Iran, Syria, Yemen na wengine wengi tu.
Saudi Arabia taratibu anaukimbia huu mtego.
Ndugu yangu huyo Saudia Marekani ana kambi tano za jeshi nchini mwake na huyo huyo Mmarekani ndiyo anasaidia waisraeli kuna kutoboa hapo ? Kama Saudia anashindwa kumsaidia mpalestina uislamu wa mwarabu utakusaidia kweli ?Saudi Arabia kabla haija"kimbia mtego" kama unavyodai na UAE kabla "hawajalegeza sheria" kama unavyodai walikuwa na vita gani na umasikini wao unaulinganisha/ungeulinganisha na nchi gani katika nchi za duniani?
Allah azilinde nchi zote za Kiislam ikiwemo Saudia na UAE na awaongoze watawala wake. Na azipe amani zilizoondokewa na amani.