Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi

Ndugu yangu huyo Saudia Marekani ana kambi tano za jeshi nchini mwake na huyo huyo Mmarekani ndiyo anasaidia waisraeli kuna kutoboa hapo ? Kama Saudia anashindwa kumsaidia mpalestina uislamu wa mwarabu utakusaidia kweli ?

Nimekuuliza aliyetawala Syria ni nani miaka ya 70 na anayetawala sasa ikiwemo hiyo miaka ya 2000 ni nani?

Au kama huelewi ngoja niweke hivi; nitajie kila aliyetawala Syria kuanzia mwaka 1963 mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…