Explain, mkuu angalau toa snippet ya hiyo kutengeneza system ndani ya system..Acha kulalamika ndivyo ilivyo na itabaki kuwa hivyo na wewe tengeneza system Yako ndani ya system,kama unadhani kuna outsider yoyote atakusaidia basi endlea kumsubiri
Chukulia nchi Ina ongozwa na katiba lakini katika nchi kina taasisi nyingine za binafsi na serikali na zote zina mifumo Yao ya kiutendaji ,UTAWALA na uongozi na sheria zaoExplain, mkuu angalau toa snippet ya hiyo kutengeneza system ndani ya system..
Na hiyo system itamnufaisha nani kama wote ambao wanaokuzunguka hawana hiyo mindset?
Naomba ufafanuzi
Pambania kombe lako dogo. Hukuja na mtuI wish kungelikuwa hata na community ya like minds.
Duuh inafikirisha, maana hicho ulicho kiongea sijawahi kukiona.Chukulia nchi Ina ongozwa na katiba lakini katika nchi kina taasisi nyingine za binafsi na serikali na zote zina mifumo Yao ya kiutendaji ,UTAWALA na uongozi na sheria zao
Lakini hizo taratibu zao zote hazivunji katiba au sheria za nchi
If you trade your time to a 9 to 5 job unahitaji mapafu ya mbwa. Kuchomoka, ila huenda ndo njia pekeeAcha kujilazimisha kuingia kwenye mfumo (fit in), chukulia kazi kama chombo tu cha kulipa bili (transaction) huku ukitumia muda wako wa ziada kujenga uhuru wako mdogo mdogo nje ya mfumo huo.
Na bado unatakiwa urudi kama mzimu uje kutesa watu πNikiwaza na mbinguni kuna moto naishiwa pawa π!
ELIMU, DINI, AFYA hii ndo mifumo hatariExplain, mkuu angalau toa snippet ya hiyo kutengeneza system ndani ya system..
Na hiyo system itamnufaisha nani kama wote ambao wanaokuzunguka hawana hiyo mindset?
Naomba ufafanuzi
Hakuna system za kiafrika system zimetengenezwa na wazungu wote mnazifuata labda uwe superpower country ndo unaweza kuvimba.System za Africa za kiwaki