System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

Hivi nikuulize swali ambalo kimsingi unalifahamu kabisa Je mamlaka ya Yohana kubatiza yalitoka kwa Mungu au binadamu?

(Naomba unielewe hapo) = Asomaye na Afahamu.
 
Hujazingatia nini nimesema na wewe kumbe hujafikiria kama ambavyo unakosoa baadhi humu kwamba hawajawaza deeper mimi sizungumzii biblia hapo.
Kwanini usitumie analogy nzuri kufikisha ujumbe? Logic ya hapo iko kidini zaidi ambako mimi siko a kwa kweli
 
Gunner11 haipo kidini brother:
Kama mamlaka ya watawala yanatokana na wananchi, kwa nini wananchi wanaponyimwa haki na fursa, mamlaka hayo yanaendelea kudai utii wao? Na kama hayatokani na wananchi, basi yanapata uhalali wake kutoka wapi?
 
Nikiwaza na mbinguni kuna moto naishiwa pawa 😒!
Mbinguni hakuna Moto bali Kuzimu. Hata hivyo kwenda motoni ni kujitakia kwa sababu Neema ya kutuokoa imefunuliwa kwetu kupitia Kristo Yesu:

YOHANA 3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
 
Gunner11 haipo kidini brother:
Kama mamlaka ya watawala yanatokana na wananchi, kwa nini wananchi wanaponyimwa haki na fursa, mamlaka hayo yanaendelea kudai utii wao? Na kama hayatokani na wananchi, basi yanapata uhalali wake kutoka wapi?
Mamlaka hayatokani na wanachi. Yanatokana na wenye nguvu, either ya pesa au nyenzo za survival..

Kama ukisha threaten survival ya kiumbe, una uwezo wa kuki control
 
Mbinguni hakuna Moto bali Kuzimu. Hata hivyo kwenda motoni ni kujitakia kwa sababu Neema ya kutuokoa imefunuliwa kwetu kupitia Kristo Yesu:

YOHANA 3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Moto upi huo?

Mbona hakuna uthibitisho kuwa mtu mwenye dhambi akifa anakwenda motoni?

Mbona wanyama nao wana kufa, nao akifa wanakwenda wapi?
 
Moto huo upo katika ulimwengu usioonekana.

Ukitaka uthibitisho,kufa ukiwa hujatubu na wala hujampokea Kristo Yesu maishani mwako,nakuhakikishia utakutana nao!.

Wanyama hawana chapa ya Mungu ndani yao. Hawajaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Hawana utashi wala Dhamiri ya kutambua jema na baya!
 
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom