Ndio wanavyotaka wameweka hivyo makusudi ili utawalikeHakika, ila inafanya mtu awe tegemezi na sio kuwa huru.
Huyo anadhani unazungumzia system ya kwenye computerExplain, mkuu angalau toa snippet ya hiyo kutengeneza system ndani ya system..
Na hiyo system itamnufaisha nani kama wote ambao wanaokuzunguka hawana hiyo mindset?
Naomba ufafanuzi
Hujazingatia nini nimesema na wewe kumbe hujafikiria kama ambavyo unakosoa baadhi humu kwamba hawajawaza deeper mimi sizungumzii biblia hapo.Sijawahi kuielewa biblia.
Yaani kizungumkuti ndugu yangu, unajikuta tu duniani unatishwa tishwa, unahangaika na dunia unakufa hata nikitafakari sipati majibu!Moto? π π π Kwanza mbinguni ni wapi na ulimwengu hatujui unako ishia?
Kwanini usitumie analogy nzuri kufikisha ujumbe? Logic ya hapo iko kidini zaidi ambako mimi siko a kwa kweliHujazingatia nini nimesema na wewe kumbe hujafikiria kama ambavyo unakosoa baadhi humu kwamba hawajawaza deeper mimi sizungumzii biblia hapo.
Gunner11 haipo kidini brother:Kwanini usitumie analogy nzuri kufikisha ujumbe? Logic ya hapo iko kidini zaidi ambako mimi siko a kwa kweli
Mbinguni hakuna Moto bali Kuzimu. Hata hivyo kwenda motoni ni kujitakia kwa sababu Neema ya kutuokoa imefunuliwa kwetu kupitia Kristo Yesu:Nikiwaza na mbinguni kuna moto naishiwa pawa π!
Mamlaka hayatokani na wanachi. Yanatokana na wenye nguvu, either ya pesa au nyenzo za survival..Gunner11 haipo kidini brother:
Kama mamlaka ya watawala yanatokana na wananchi, kwa nini wananchi wanaponyimwa haki na fursa, mamlaka hayo yanaendelea kudai utii wao? Na kama hayatokani na wananchi, basi yanapata uhalali wake kutoka wapi?
Moto upi huo?Mbinguni hakuna Moto bali Kuzimu. Hata hivyo kwenda motoni ni kujitakia kwa sababu Neema ya kutuokoa imefunuliwa kwetu kupitia Kristo Yesu:
YOHANA 3
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Nashukuru sana kwa jibu lako.Mamlaka hayatokani na wanachi. Yanatokana na wenye nguvu, either ya pesa au nyenzo za survival..
Kama ukisha threaten survival ya kiumbe, una uwezo wa kuki control
Moto huo upo katika ulimwengu usioonekana.Moto upi huo?
Mbona hakuna uthibitisho kuwa mtu mwenye dhambi akifa anakwenda motoni?
Mbona wanyama nao wana kufa, nao akifa wanakwenda wapi?
πππππππ€£π€£π€£π€£Moto huo upo katika ulimwengu usioonekana.
Ukitaka uthibitisho,kufa ukiwa hujatubu na wala hujampokea Kristo Yesu maishani mwako,nakuhakikishia utakutana nao!.
Wanyama hawana chapa ya Mungu ndani yao. Hawajaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Hawana utashi wala Dhamiri ya kutambua jema na baya!