System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
Siongelei ukosefu wa ajira naongelea system iliyo kuwa designed kukufanya uwe slave.

Tofautisha mindset yako na hoja iliyopo menzani
 
Biashara za leo sio halisi ,ni game ya kugeuziana mchezo ,ni utapeli mtupu ,wengine wanaamini kwenye ushirikina.
 
That's why hatufanikiwi because kazi yetu ni kuiga bila kujua implication take ni ipi. Mfano mitaa la ya shule, watu wanafundishwa algorithms lakini waki uliza watakitumia wapi hawaelewi
 
Acha kujilazimisha kuingia kwenye mfumo (fit in), chukulia kazi kama chombo tu cha kulipa bili (transaction) huku ukitumia muda wako wa ziada kujenga uhuru wako mdogo mdogo nje ya mfumo huo.
Hujamuelewa huko kujenga uhuru wako ndio system hairuhusu..unalazimishwa kuwa slave na obedient to system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…