Tetesi: System mpya ya malipo yote ya Serikali kupitia Mabenki

Na ndio maana MAJIZI kwa kutumia mwamvuli wa siasa yamehamia mitandaoni kutukana na kukejeli jitihada za Serikali Kuu.
Viva Tanzania.....A luta Continua.
 
Nchi hiii ina maeneo mengi yanayofaa kwa kilimo; hao unaowaita "majizi" natumaini watakuwa na mitaji ya kwenda kufyeka mapori na kuanzisha kilimo cha biashara; wewe baki ukishangilia
 
Nchi hiii ina maeneo mengi yanayofaa kwa kilimo; hao unaowaita "majizi" natumaini watakuwa na mitaji ya kwenda kufyeka mapori na kuanzisha kilimo cha biashara; wewe baki ukishangilia
Povu la Jizi ni kama wimbi la Tsunami.
 
sawa kusanyeni vizuri pesa ya kuhongea 2020 ila mjue tshirt na khanga zenu hatuchukui sasa hivi
 
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
 
awamu hii wameshikwa pabaya.
 
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
Povu la Majizi ni Kama wimbi la Tsunami.
 
Na zile chapaa za wale madiwani wa Arusha zitapita huko!!
Hizo tutatoa keshi kama tulivyosonba zile za Escrow kwenye maboksi, lumbesa na mifuko ya sandarusi. Kupitisha bank noma si umeona wale waliosomba kupitia akaunti zao walivyoumbuka? Mpaka wachungaji wa kondoo wa Bwana wameaibika. Eti walisema ni sadaka sasa wanakabidhi serikalini. Hivi sadaka huwa inarudishwa? Hata kama ni ya jambazi ikienda madhabahuni imeenda Mola ndiye atakayeamua. Kwahoyo hizi za shughulia za kununua macouncillors na za kazi za wasiojulikana itakuwa keshi bin keshi. Yule mwingine tulimpitishia benki wajanja wakaziblock na kuibeba
 
Na ndio maana MAJIZI kwa kutumia mwamvuli wa siasa yamehamia mitandaoni kutukana na kukejeli jitihada za Serikali Kuu.
Viva Tanzania.....A luta Continua.
"wasiojulikana" mnaanza kujulikana.
 
Duh!! Ila mwizi ubuni mbinu tofauti tofauti
 
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
Ugumu wa maisha utapambana nao mwenyewe ulikuwa unataka serikali ikuwekee pesa mfukoni serikali itakuwekea umeme, barabara, maji, hospital na miundombinu mingine hayo mengine ni juu yako
 
nikuambie tu wizi kamwe hautaisha ila jamaa nampongeza kajitahidi sana kuupunguza
 
Ugumu wa maisha utapambana nao mwenyewe ulikuwa unataka serikali ikuwekee pesa mfukoni serikali itakuwekea umeme, barabara, maji, hospital na miundombinu mingine hayo mengine ni juu yako
Ubarikiwe mbaraka wa isabela (jezebel)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…