Habari za chini ya kapeti ule usemi wa mzee wa kazi Rais Magufuli kuwa anawaandalia majizi kifo cha mwisho ndani ya Serikali sasa umekuwa kweli.
Habari za kuaminika kutoka ndani inasemekana Serikali imeyapa mabank makubwa matatu hapa nchini kufanya kazi ya agent wa Serikali ktk kukusanya malipo yote ya Serikali ndangu wilaya,miji,mikoa na taasisi zote za Serikali.
Wale wahasibu walikuwa wakiandika virisiti fake nakuibia Serikali sasa watafute kazi nyingine maana sasa malipo yote sasa yatafanyika bank na serikali itakuwa iki issue receipt tu.
Vile system itafanya itakuwa kama vile TRA inavyokusanya mapato yake kwa sasa ambapo kibank inaitwa tax banking ambapo tra wame link system yao ya malipo na sytem ya bank ambapo mtu akienda bank kulipa anaenda na reeip yenye ref number ambapo sio rahisi kubadilisha figure ie kama unalipa tzs 40,000/= bas teller anapo ingiza ref amount iliopo kwenye karatasi ndio inatokea no edit.
Aina hii ya system ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la mafisadi ambapo hawato kuwa na uwezo wakuandika low est nakujilipa ama kufanya udanganyifu.
Inshort tutegeme vifo vingi vya presha maana no eazy money..
Shime Mh Rais.