Tetesi: System mpya ya malipo yote ya Serikali kupitia Mabenki

Na ndio maana MAJIZI kwa kutumia mwamvuli wa siasa yamehamia mitandaoni kutukana na kukejeli jitihada za Serikali Kuu.
Viva Tanzania.....A luta Continua.
 
Habari za chini ya kapeti ule usemi wa mzee wa kazi Magufuli kuwa anawaandalia majizi kifo cha mwisho ndani ya serikali sasa umekuwa kweli.
Habari za kuaminika kutoka ndani inasemekana serikali imeyapa mabank makubwa matatu hapa nchinibkufanya kazi ya agent wa serikali ktk kukusanya malipo yote ya serikali ndangu wilaya,miji,mikoa na taasisi zote za serikali.
Wale wahasibu walikuwa wakiandika virisiti fake nakuibia serikali sasa watafute kazi nyingine maana sasa malipo yote sasa yatafanyika bank na serikali itakuwa iki issue receipt tu.
Vile system itafanya itakuwa kama vile Tra inavyokusanya mapato yake kwa sasa ambapo kibank inaitwa tax banking ambapo tra wame link system yao ya malipo na sytem ya bank ambapo mtu akienda bank kulipa anaenda na reeip yenye ref number ambapo sio rahisi kubadilisha figure ie kama unalipa tzs 40,000/= bas teller anapo ingiza ref amount iliopo kwenye karatasi ndio inatokea no edit.
Aina hii ya system ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la mafisadi ambapo hawato kuwa na uwezo wakuandika low est nakujilipa ama kufanya udanganyifu.
Inshort tutegeme vifo vingi vya presha maana no eazy money..
Shime Mh Rais.
Nchi hiii ina maeneo mengi yanayofaa kwa kilimo; hao unaowaita "majizi" natumaini watakuwa na mitaji ya kwenda kufyeka mapori na kuanzisha kilimo cha biashara; wewe baki ukishangilia
 
Povu la Jizi ni kama wimbi la Tsunami.
 
sawa kusanyeni vizuri pesa ya kuhongea 2020 ila mjue tshirt na khanga zenu hatuchukui sasa hivi
 
Habari za chini ya kapeti ule usemi wa mzee wa kazi Rais Magufuli kuwa anawaandalia majizi kifo cha mwisho ndani ya Serikali sasa umekuwa kweli.

Habari za kuaminika kutoka ndani inasemekana Serikali imeyapa mabank makubwa matatu hapa nchini kufanya kazi ya agent wa Serikali ktk kukusanya malipo yote ya Serikali ndangu wilaya,miji,mikoa na taasisi zote za Serikali.

Wale wahasibu walikuwa wakiandika virisiti fake nakuibia Serikali sasa watafute kazi nyingine maana sasa malipo yote sasa yatafanyika bank na serikali itakuwa iki issue receipt tu.

Vile system itafanya itakuwa kama vile TRA inavyokusanya mapato yake kwa sasa ambapo kibank inaitwa tax banking ambapo tra wame link system yao ya malipo na sytem ya bank ambapo mtu akienda bank kulipa anaenda na reeip yenye ref number ambapo sio rahisi kubadilisha figure ie kama unalipa tzs 40,000/= bas teller anapo ingiza ref amount iliopo kwenye karatasi ndio inatokea no edit.

Aina hii ya system ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la mafisadi ambapo hawato kuwa na uwezo wakuandika low est nakujilipa ama kufanya udanganyifu.

Inshort tutegeme vifo vingi vya presha maana no eazy money..
Shime Mh Rais.
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
 
awamu hii wameshikwa pabaya.
 
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
Povu la Majizi ni Kama wimbi la Tsunami.
 
Na zile chapaa za wale madiwani wa Arusha zitapita huko!!
Hizo tutatoa keshi kama tulivyosonba zile za Escrow kwenye maboksi, lumbesa na mifuko ya sandarusi. Kupitisha bank noma si umeona wale waliosomba kupitia akaunti zao walivyoumbuka? Mpaka wachungaji wa kondoo wa Bwana wameaibika. Eti walisema ni sadaka sasa wanakabidhi serikalini. Hivi sadaka huwa inarudishwa? Hata kama ni ya jambazi ikienda madhabahuni imeenda Mola ndiye atakayeamua. Kwahoyo hizi za shughulia za kununua macouncillors na za kazi za wasiojulikana itakuwa keshi bin keshi. Yule mwingine tulimpitishia benki wajanja wakaziblock na kuibeba
 
Na ndio maana MAJIZI kwa kutumia mwamvuli wa siasa yamehamia mitandaoni kutukana na kukejeli jitihada za Serikali Kuu.
Viva Tanzania.....A luta Continua.
"wasiojulikana" mnaanza kujulikana.
 
Duh!! Ila mwizi ubuni mbinu tofauti tofauti
 
Hela zinazokusanywa na kudhibitiwa mbona hazipunguzi makali ya maisha?

Unaweza kudhani napenda serikali iibiwe la hasha! sipendi niibiwe! kibaya zaidi huku nakejeliwa.
Ugumu wa maisha utapambana nao mwenyewe ulikuwa unataka serikali ikuwekee pesa mfukoni serikali itakuwekea umeme, barabara, maji, hospital na miundombinu mingine hayo mengine ni juu yako
 
nikuambie tu wizi kamwe hautaisha ila jamaa nampongeza kajitahidi sana kuupunguza
 
Ugumu wa maisha utapambana nao mwenyewe ulikuwa unataka serikali ikuwekee pesa mfukoni serikali itakuwekea umeme, barabara, maji, hospital na miundombinu mingine hayo mengine ni juu yako
Ubarikiwe mbaraka wa isabela (jezebel)
 
Back
Top Bottom