Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa ni Review ya 2018, Leo hakukidhi vigezo kuwa mgeni flani.
Sikuona ulazima wa kuwepo lulu ingawa ni host mzuri ila sio hapo Leo hata USO wake hauna nuru niliyoizoeaIla mwaka huu wameharibu zaidi bora mwaka jana.......leo mwanzo tu wameharibu hasa hawa ma mc kazi inawashinda labda wabadilike muda unavyoenda...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kama hizi Salama Jabir,Mc Pilipili,Dk Cheni,Mwarabu wa Dubai (Mpoki) na Joti ndo viwango vyao.Ila mwaka huu wameharibu zaidi bora mwaka jana.......leo mwanzo tu wameharibu hasa hawa ma mc kazi inawashinda labda wabadilike muda unavyoenda...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuona ulazima wa kuwepo lulu ingawa ni host mzuri ila sio hapo Leo hata USO wake hauna nuru niliyoizoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kama hizi Salama Jabir,Mc Pilipili,Dk Cheni,Mwarabu wa Dubai (Mpoki) na Joti ndo viwango vyao.
Tupen picha wengine tuna star timesNamuona Mrs. Majizzo Leo yuko kawaida sanaa na ile gauni!!ati au macho yangu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app