Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaboa vibaya mnoo!asikuambie mtu hadhira kuimanage ni kazi sanaaaaa!!!tofauti na kwenye TV!!!!peke yako au wawiliHuyu jamaa ni host mzuri kwa vipindi vya Tv ila huku bado sijamuelewaaa....hivi haiwezekani kubadilisha.maana.
Hawa nao unapandaje na watu wawili bwanaaaa!!!!mfyuuu zao sijapendaaa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisaa!!!!masharti km waganga wa kienyeji!![emoji11][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa hap wengine sijui kama walipigiwa kuraa but all in all Padmavaat ndo yenyewe acha kabisaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu hii ya hapa huyo Shahzade Mustafa asije enda kumsimulia Sumbura tuu
Daaahh!!maana huuu vituko aseehhh!mambo meusi mnooo!!daaahhh!!Aisee yani na mbwembwe zooooote zooooote za kuzunguka nchi nzima na matangazo kibaaaaao ndo wanatuletea hivi kikiwa kimepoa hivi? Mpaka Umeme umekatika! Shame