Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Hahahaaa...sitii nenoTatizo nililogundua ni uwepo wa 0,Labda kakumbukia kule Mawingu
Na mbwebwe zao zote hawana jenereta
Mtuwekee na tupicha basi tuwaone hao wasanii na sisi tuliopo nanjilinji tujionee
Wa mjini mnafaidi jamani
Mtuwekee na tupicha basi tuwaone hao wasanii na sisi tuliopo nanjilinji tujionee
Wa mjini mnafaidi jamani
Madame Ritha......hazeeki tu. Naye bongo star search yake sijui vipi..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naumia kwa sababu nimegoma kutoka Leo kwenda mjini na hivi nakaa njinjo hukuu!!!nikiamini ntainjoi kumbe kerooooo!!!tupu