hizo assumptions tu mkuu!tutajie hata mtu mmoja ambaye T.I kamkalisha kimtaani
Muuza Sura tunaposema street fight hatumaanishi tu ngumi,yan maywether hatoishi kwa amani mtaani,japokua anajua ngumi..
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo assumptions tu mkuu!tutajie hata mtu mmoja ambaye T.I kamkalisha kimtaani
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo
T.I. kaumbuka kwa hili. Mayweather alimwambia "get out of my face" baada ya kumfuata kwa mara ya pili, eti sababu ya lijike lake lenye sura mbayaa kaa mbuzi. T.I anajpendekeza kwa Mayweather. Baada ya vagi, Mayweather kaenda zake kula bata strip club like nothing happened, wakati T.I. ilibidi aingie mitini kwenye show lake usiku ule. It was nothing short of suicidal kwa attention seeker T.I. kujaribu kupigana ngumi kavu na Mayweather.
Umewahi kuona vijana wa mtaani wanapigana?
Yap yap kweli kabisa....nilikosea kuandika. NWA was the group, Ruthless Records was tha label.
Weka kideo tuone. Mtoto mayai kama T.I. apigane ngumi kavu na best-ever pound-for-pound pugilist in the history of professional boxing wa caliber ya Mayweather? Negro please! T.I. hata mwili hana, achilia mbali street fighting skills, kazi kutembeza domo tu, kitu ambacho simlaumu maana ni kazi yake, angalau angeheshimu basi na yeye kazi za wengine.
Unaweza kuziona videos za may ila sio za grand hustler.50 cent anajua maisha ya kwenye mtaa ndo maana anamwambia Floyd akae mbali na Tiny ili amkwepe TIP.in street fightings kuna visu,nondo,viti na kila kitu plus manati ulaya.floyd kakua kwa bibi though baba ake alikuwa drug lord hakuwahi kujihusisha na issue za baba yake utotoni.tofauti na kina cents wana jua kipi kipo mtaani.TIP kaanza kudeal na guns tangu yuko 8 ama ten.tangu mtoto cliff alikuwa mtaani anauza drugs.wengi mnadhani Floyd ndo best man in the world,sivyo akikutana hata na bodyguard wake anaweza akawa anachezea vizuri tu.yule ni king wa ring sio kupigana na yeyote.na kwenye feuds unawezza hata usirushe ngumi ukapigwa manati tu.hii ni kawaida kwa tip....rip philant
Bondia Floyd Mayweather ameripotiwa kuzipiga na msanii wa miondoko ya rap T.I katika mgahawa mmoja mjini Las Vegas, Marekani. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, T.I aliamua'kulianzisha' na Floyd Mayweather ambaye kazi yake na fani yake ni 'kurusha mikono'.
Tovuti hiyo ambayo huandika habari za udaku za'macelebrity', imesema mtafaruku huo ulitokea nje ya mgahawa wa Fatburger, ambapo T.I alimfuata bondia huyo hodari duniani na kuanza kumrushia masumbwi kabla ya walinzi waokuingilia kati na kuwatenganisha.
Polisi wa Las Vegas wamethibitisha kutokea kwa kasheshe hiyo, ingawa hakuna sababu hasa iliyotolewa ya kuzuka kwa ugomvi huo.
Weka kideo tuone. Mtoto mayai kama T.I. apigane ngumi kavu na best-ever pound-for-pound pugilist in the history of professional boxing wa caliber ya Mayweather? Negro please! T.I. hata mwili hana, achilia mbali street fighting skills, kazi kutembeza domo tu, kitu ambacho simlaumu maana ni kazi yake, angalau angeheshimu basi na yeye kazi za wengine.
Kujitegemea ukiwa na miaka 8 Kuna uhusiano gani na kupigana ngumi mi nasema hta mbingu ishuke t.i hatoweza kumpiga mayweather...ooh ngumi za mtaa jab moja ya mayweather t.i chaliii
Hahaha hujui uhusiano wa kujitegemea ukiwa na miaka 8 na kupigana? Jaribu kuangalia black Americans movies na ufuatilie maisha ya matajiri wengi waliotoka kwa njia ya kuuza drugs.kama umeiona get rich or die tryn ya cents ile ni kijipart tu cha maisha ya mtaa.cliff kaanza kwenda jela tangu yuko 14 just imagine.kwenye ile biashara kuna ishu nyingiii.then mnaponiacha hoi ni kwenye kuamini kuwa moneyweather ndo best man in the world.anatesa kwa uzito wao nasubiri arejee jeuri yake yakusema anataka kupigana na klitschko mmoja wapo.atakufa ulingoni.najua komeka unadhani weather atatumia ujuzi wake wote tangu aliofundishwa na mayweather sr.huko ni kwa watoto wa kitaa.hebu angalia mbilinge la mbwa mwitu tu....

Kama T.I ndiye alimvamia tu Mayweather, basi hakuna shaka ni T.I hapo anatafuta KUmake headlines.........coz amesahaulika sana.