T.I amezichapa na Mayweather

T.I amezichapa na Mayweather

Tatizo lenu mnaongea porojo et ngumi za mtas ngumi za mtas pumxi ya kupigana hta dk tano huna achen jumps kichwa huyo jamaa ataumia
 
Mnaelewa lakini jambo ambalo Senior Boss analizungumzia?ni kweli Floyd boxing ndio kazi yake anaijua,ana trainer,anarusha ngumi sana and blah blah ishu ni pale unapokutana na mtoto wa mtaani mnanzisha mbilinge bila kua na sheria na hakuna refa hapo picha linabadilika maana hakuna formula kumbukeni mtu proffesional akiondolewa kwenye sheria ya proffesion yake anakua mpya,i do trust Tip kwenye hili hakukurupuka na ana uwezo wa kukimbizana nje ya ulingo mkumbuke hapo sio ngumi tu kuna mateke,ndosi mixer mitama huyu Floyd hamuezi Tip wakiwa hood ataumia na pesa zake zote atakaa home club itakua police post si umemsikia Curtis amemuuliza "champ..why do you need bodygurd while your unbeaten?" anajua nje ya ulingo anapasuka tu ndani ya dakika wahuni wanapotea.
Cc: Muuza Sura na komeka
 
Last edited by a moderator:
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo

Lol! Hatareee!
 
T.I. kaumbuka kwa hili. Mayweather alimwambia "get out of my face" baada ya kumfuata kwa mara ya pili, eti sababu ya lijike lake lenye sura mbayaa kaa mbuzi. T.I anajpendekeza kwa Mayweather. Baada ya vagi, Mayweather kaenda zake kula bata strip club like nothing happened, wakati T.I. ilibidi aingie mitini kwenye show lake usiku ule. It was nothing short of suicidal kwa attention seeker T.I. kujaribu kupigana ngumi kavu na Mayweather.
 
Umewahi kuona vijana wa mtaani wanapigana?
 
Weka kideo tuone. Mtoto mayai kama T.I. apigane ngumi kavu na best-ever pound-for-pound pugilist in the history of professional boxing wa caliber ya Mayweather? Negro please! T.I. hata mwili hana, achilia mbali street fighting skills, kazi kutembeza domo tu, kitu ambacho simlaumu maana ni kazi yake, angalau angeheshimu basi na yeye kazi za wengine.
 
Unaweza kuziona videos za may ila sio za grand hustler.50 cent anajua maisha ya kwenye mtaa ndo maana anamwambia Floyd akae mbali na Tiny ili amkwepe TIP.in street fightings kuna visu,nondo,viti na kila kitu plus manati ulaya.floyd kakua kwa bibi though baba ake alikuwa drug lord hakuwahi kujihusisha na issue za baba yake utotoni.tofauti na kina cents wana jua kipi kipo mtaani.TIP kaanza kudeal na guns tangu yuko 8 ama ten.tangu mtoto cliff alikuwa mtaani anauza drugs.wengi mnadhani Floyd ndo best man in the world,sivyo akikutana hata na bodyguard wake anaweza akawa anachezea vizuri tu.yule ni king wa ring sio kupigana na yeyote.na kwenye feuds unawezza hata usirushe ngumi ukapigwa manati tu.hii ni kawaida kwa tip....rip philant
 
Waambie waelewe....ivi watu wanachukulia poa mtoto mdogo wa miaka 8 tayari anajitegemea na ku sling crack cocaine mtaani ?? Mtoto wa umri huo kibongo bongo kiasi kile si atakua yuko darasa la kwanza au la pili ?? Alaf wanataka kumlinganisha na mayweather ?? Mayweather mtoto wa mama tu. Do u guys know how risky and dangerous drug dealing is ??
 
Kujitegemea ukiwa na miaka 8 Kuna uhusiano gani na kupigana ngumi mi nasema hta mbingu ishuke t.i hatoweza kumpiga mayweather...ooh ngumi za mtaa jab moja ya mayweather t.i chaliii
 
Bondia Floyd Mayweather ameripotiwa kuzipiga na msanii wa miondoko ya rap T.I katika mgahawa mmoja mjini Las Vegas, Marekani. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, T.I aliamua'kulianzisha' na Floyd Mayweather ambaye kazi yake na fani yake ni 'kurusha mikono'.

Tovuti hiyo ambayo huandika habari za udaku za'macelebrity', imesema mtafaruku huo ulitokea nje ya mgahawa wa Fatburger, ambapo T.I alimfuata bondia huyo hodari duniani na kuanza kumrushia masumbwi kabla ya walinzi waokuingilia kati na kuwatenganisha.

Polisi wa Las Vegas wamethibitisha kutokea kwa kasheshe hiyo, ingawa hakuna sababu hasa iliyotolewa ya kuzuka kwa ugomvi huo.

e wajinga tuuuu kama watoto bhnaaaa
 
Weka kideo tuone. Mtoto mayai kama T.I. apigane ngumi kavu na best-ever pound-for-pound pugilist in the history of professional boxing wa caliber ya Mayweather? Negro please! T.I. hata mwili hana, achilia mbali street fighting skills, kazi kutembeza domo tu, kitu ambacho simlaumu maana ni kazi yake, angalau angeheshimu basi na yeye kazi za wengine.

Yaani mkuu unafikiri T.I ni mayai kwasababu ni handsome kuliko Mayweather? Utakuwa unachekesha halafu mwili mbona wapo sawa tu!
 
Kujitegemea ukiwa na miaka 8 Kuna uhusiano gani na kupigana ngumi mi nasema hta mbingu ishuke t.i hatoweza kumpiga mayweather...ooh ngumi za mtaa jab moja ya mayweather t.i chaliii

Hahaha hujui uhusiano wa kujitegemea ukiwa na miaka 8 na kupigana? Jaribu kuangalia black Americans movies na ufuatilie maisha ya matajiri wengi waliotoka kwa njia ya kuuza drugs.kama umeiona get rich or die tryn ya cents ile ni kijipart tu cha maisha ya mtaa.cliff kaanza kwenda jela tangu yuko 14 just imagine.kwenye ile biashara kuna ishu nyingiii.then mnaponiacha hoi ni kwenye kuamini kuwa moneyweather ndo best man in the world.anatesa kwa uzito wao nasubiri arejee jeuri yake yakusema anataka kupigana na klitschko mmoja wapo.atakufa ulingoni.najua komeka unadhani weather atatumia ujuzi wake wote tangu aliofundishwa na mayweather sr.huko ni kwa watoto wa kitaa.hebu angalia mbilinge la mbwa mwitu tu....
 
klitchko ameingiaje hpa mi nazungumzia hyu mwana hip hop anayeitwa t.i am aye mmediriki kusema kwamba Ana uwezo wa kumpiga money ...msingi mkuu wa ngumi ni mazoez yanakayokufanya uwe na pumzi ya kutosha pamoja na stamina hivyo mnavyosema cjui ngumi za mtaani ni porojo tu km hauko fit utaumia tu na ujuz Wako wa ngumi za mtaa so compare t.i na money nani atakuwa yko full stamina??? Linaookuja dials la ngumi hakuna ujanja wa kuvizia ishu ni utaweza kusinama kwa dk ngapi km pumzi yko ni dk tano ina maana dk ya sita lazima ule mchanga
 
Last edited by a moderator:
Kujitegemea ukiwa na miaka 8 Kuna uhusiano gani na kupigana ngumi mi nasema hta mbingu ishuke t.i hatoweza kumpiga mayweather...ooh ngumi za mtaa jab moja ya mayweather t.i chaliii

Mbna mzito sana kuelewa ?? Nimesema ki ngumi/mkono T.I lazma anachapwa vibayaa na mayweather. Ila when it comes to street intelligence (living and making it big in the streets) mayweather hamuwezi T.I. Ndio maana T.I akamwambia jamaa he fights in the ring but he fights in the streets hata 50 anajua fika T.I ni muhuni wa kitaa. Umeelewa kiswahili ?? Kuishi na kufanikiwa mtaani needs high levels of intelligence kama ww mtoto wa mama hutoweza maisha hayo especially if u are a school drop out in the United States. Ndio maana nikakutolea mfano, 50 Cent huwezi mlinganisha na Ja Rule au Rick Ross (the are just studio gangstars, they just talk and pretend to have lived that gangstar life but in real sense they don't or never lived that kind of life)
 
Hahaha hujui uhusiano wa kujitegemea ukiwa na miaka 8 na kupigana? Jaribu kuangalia black Americans movies na ufuatilie maisha ya matajiri wengi waliotoka kwa njia ya kuuza drugs.kama umeiona get rich or die tryn ya cents ile ni kijipart tu cha maisha ya mtaa.cliff kaanza kwenda jela tangu yuko 14 just imagine.kwenye ile biashara kuna ishu nyingiii.then mnaponiacha hoi ni kwenye kuamini kuwa moneyweather ndo best man in the world.anatesa kwa uzito wao nasubiri arejee jeuri yake yakusema anataka kupigana na klitschko mmoja wapo.atakufa ulingoni.najua komeka unadhani weather atatumia ujuzi wake wote tangu aliofundishwa na mayweather sr.huko ni kwa watoto wa kitaa.hebu angalia mbilinge la mbwa mwitu tu....

Well said mkuu....mfano ndio maana hata hapa bongo ukisikia mchaga aliyeishia darsa la 7 kaja mjini na mfuko wa rambo ka fight mpaka kawa a multi-millionaire....ujue fika huyo mtu si mtu wa kawaida kuna mengi sana amepitia maishani mwake hakuna ushenzi asio ujua. Wacha mfanye research wenyewe mtaona. People just talk what they don't know or understand...maisha ya mtaa acha kabisa. Hebu fanyeni mgoogle "The Supreme Team" ya huko Marekani msome habari zao miaka hyo ya 90's ni noma sanaa. Na hilo gang 50 Cent ndio alikua anapiga nao mzigo kabla ya kujitoa kipindi hicho alivyonusurika kufa. Ndio utamlinganisha mtoto aliyeanza ku push crack cocaine since age 8 ??
 
Kama T.I ndiye alimvamia tu Mayweather, basi hakuna shaka ni T.I hapo anatafuta KUmake headlines.........coz amesahaulika sana.

Fyatu, sio TID ni TI ndo unayesema amesahaulika? Au humfaham?
 
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo

Basi jamaa ni shidaa.
 
Watu wengi wanaochangia wanaipata kwa emagination tuu street life ya marekani coz hawajafika huko! Wapagazi waliokulia upagazi kama kina T.I ni watoto wa mbwa linapokuja suala la kupigana na uhuni na ubabe wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom