T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

hakika mashabiki wanaponza
 

GREAT THINKING,, tuwaache vichwa maji kama na hapa hawataelewa.
 
TID mirembe panamuita. ana kila dalili ya kuchizika
 
Anaposema help your boyfriend anamaanisha akamsaidie Lord Eyez au sio?!
Btw,Wote wawili wana makosa.
 
madawa hatari sana tid wenzie wanataka kumuokoa kama walivyookolewa wao yeye analeta mitusi tu, ila ray c awasaidie wote (tid na eyez) pia asiende public
 
Safi sana TID huyo bidada inabid aingie darasani kujifunza mambo ya ushauri nasaha yanavyofanyika sio anakurupuka tu anataka muongee kwa nini asimpigie simu au aka fuata uso kwa uso au ndio anataka aonekane anasaidia watu mateja wapo kibao dsm aende akawape ushauri nasaha sio kutaka sifa kwa mpenda masifa TID
 
Huuu ndo unaitwaga ushabikii mandazii...mnashabikia mtu kutukana?? badala ya kusikitika?? Mie sio shabikii wa rayc wala tid...but TID anaboa ajirekebishe iko siku atachezea vitasa!!
 
Ray c alikua anatafuta sifaa kaipataa aisee binam ukimuona TID mnunulie hata peps kanifurahisha asubuhi hiii mchiz kwa Majibu kiboko Nampa miaa
Sasa we Moron mbona me sijaona kitu hapo yani unasifiaaaa mpaka kero.
unajishaua tu.
 
Stress ni ugonjwa mbaya sana plus poda..
 

Attachments

  • 1404443057628.jpg
    131.2 KB · Views: 150
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…