Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumba 20K? Wakati napat t-shirt tatu hapo hata nikiwa Dom au Arusha,sembuse Dar!Pungunza mkuu, utawapata wengi sio kwa gep hilo, wengi watakimbilia kwa Brother D
Nakushauri toa neno MTUMBA weka grade one...mtumba maana yake kuukuu...Jipatie T shirt Kali za Mtumba Kwa ubora wa hali ya juu na bei nafuu..zinapatikana dar Kwa bei ya Tsh 20,000..call/what's up 0744002351View attachment 1572799View attachment 1572800View attachment 1572801View attachment 1572802View attachment 1572803View attachment 1572804View attachment 1572805View attachment 1572806View attachment 1572807
Nikienda karume na msimbaz naziokoteza hizi kwa buku tatu tatu mpk buku nne. Hyo bei yako ni bei ya tisht kali za dukan classic.
Fasta sana mkuu, nipm no yako tumalize biashara.
Umeona tishet na shati hapo
Chimbo zuri sana
Tishet bei rahisi
Shati bei rahisiView attachment 1573179View attachment 1573182
Kwa sasa hivi ziko online hasa hapa JF na what's app mkuu...Mkuu ongeza maelezo kidogo kuhusu zinapopatikana na bei, pia kama wana page kwenye mitandao ya kijamii ungetusaidia ili tuangalie kidogo!!!!
Nimeona chief will work on thatUmeona tishet na shati hapo
Chimbo zuri sana
Tishet bei rahisi
Shati bei rahisiView attachment 1573179View attachment 1573182
Thanks Kwa maelekezo mzeeHizi ni grade 1. Tusicomplicate vitu. Hizo fulana za buku 3 za uzuri huu huku hazijapigwa uzi na viraka kwa mbali ni uende saa 11 alfajiri ambapo mtajikuta mnagombea na wana kibao pia hazitakua na muundo huu.
Yote kwa yote kila mtu na mfuko wake.
Sawa nimekuelewa kakaNakushauri toa neno MTUMBA weka grade one...mtumba maana yake kuukuu...
Mkuu hapo ndio umemaliza kutoa maelezo kwa mtu ambaye anaweza kuwa mteja wako na wote wenye mtazamo kana wake?...daaahKwa sasa hivi ziko online hasa hapa JF na what's app mkuu...
Nashukuru kwa waliotoa ushauri naufanyia kazi to improve the business..ah upande wa price objection napenda kusema kwamba we are not in mass production era kama jamaa wa magari ya ford..gari aina moja kwa wateja wote na bei ni moja no now ni era ya socioeconomic/product...Segmentation niliofanya inawezekana usiwe wemo ie unaweza segment kwa demographic, social status etc...yawezekana hujaona value and can't complain labda hujaona value over price..