INAUZWA T shirt Kali za Mtumba

INAUZWA T shirt Kali za Mtumba

Abang

Member
Joined
May 8, 2020
Posts
27
Reaction score
32
Jipatie T shirt Kali za Mtumba Kwa ubora wa hali ya juu na bei nafuu..zinapatikana dar Kwa bei ya Tsh 20,000..call/what's up 0744002351
IMG-20200917-WA0008.jpg
IMG-20200917-WA0016.jpg
IMG-20200917-WA0015.jpg
IMG-20200917-WA0014.jpg
IMG-20200917-WA0013.jpg
IMG-20200917-WA0012.jpg
IMG-20200917-WA0011.jpg
IMG-20200917-WA0010.jpg
IMG-20200917-WA0009.jpg
 
Pungunza mkuu, utawapata wengi sio kwa gep hilo, wengi watakimbilia kwa Brother D
 
kama utakubali kwa elf 5 kwa kila moja nachhkua tshert 10
0623953036 calls/whatsapp
 
Hizi ni grade 1. Tusicomplicate vitu. Hizo fulana za buku 3 za uzuri huu huku hazijapigwa uzi na viraka kwa mbali ni uende saa 11 alfajiri ambapo mtajikuta mnagombea na wana kibao pia hazitakua na muundo huu.

Yote kwa yote kila mtu na mfuko wake.
 
Nashukuru kwa waliotoa ushauri naufanyia kazi to improve the business..ah upande wa price objection napenda kusema kwamba we are not in mass production era kama jamaa wa magari ya ford..gari aina moja kwa wateja wote na bei ni moja no now ni era ya socioeconomic/product...Segmentation niliofanya inawezekana usiwe wemo ie unaweza segment kwa demographic, social status etc...yawezekana hujaona value and can't complain labda hujaona value over price..
 
Mkuu ongeza maelezo kidogo kuhusu zinapopatikana na bei, pia kama wana page kwenye mitandao ya kijamii ungetusaidia ili tuangalie kidogo!!!!
Kwa sasa hivi ziko online hasa hapa JF na what's app mkuu...
 
Hizi ni grade 1. Tusicomplicate vitu. Hizo fulana za buku 3 za uzuri huu huku hazijapigwa uzi na viraka kwa mbali ni uende saa 11 alfajiri ambapo mtajikuta mnagombea na wana kibao pia hazitakua na muundo huu.

Yote kwa yote kila mtu na mfuko wake.
Thanks Kwa maelekezo mzee
 
Kwa sasa hivi ziko online hasa hapa JF na what's app mkuu...
Mkuu hapo ndio umemaliza kutoa maelezo kwa mtu ambaye anaweza kuwa mteja wako na wote wenye mtazamo kana wake?...daaah
 
Nashukuru kwa waliotoa ushauri naufanyia kazi to improve the business..ah upande wa price objection napenda kusema kwamba we are not in mass production era kama jamaa wa magari ya ford..gari aina moja kwa wateja wote na bei ni moja no now ni era ya socioeconomic/product...Segmentation niliofanya inawezekana usiwe wemo ie unaweza segment kwa demographic, social status etc...yawezekana hujaona value and can't complain labda hujaona value over price..

Mkuu unatuchanganya wateja, umeandika nini sasa? Hayo mambo sijui ya Ford, Segmentation, Demographic na blah blah ya nini?
 
Back
Top Bottom