Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ni kweli kabisa.Mazoezi ya u tayari yana posho nzuri ndio maana kila wakati yanarudiwa ikitokea ajali huwaoni kwa vile ajali hazina posho
Mashujaa mnawatukana baada ya kuokolewa kwenu, wamegoma kutoa msaadaHaya leo nini chanzo ni hali ya hewa ama zoezi la kujiweka sawa TU
Ndio wazamishe ndege kweli .au tunazo nyingi sana hizo ndegeInaweza kuwa wako kwenye mazoezi ya utayari.
Tunazo nyingi kwenye maghala yetu hizo ni za zamani sana hata ukiziangalia so zinatumika kwa ajili ya majaribio tu hazina madhara.Ndio wazamishe ndege kweli .au tunazo nyingi sana hizo ndege
ππππππ ππHii nchi ni Shenzistan
CC:MAJALIWAKasia zipo za kuvunjia mlango?