TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

Spinning sio Njia nzuri ya ku deal na majanga!!

Nadhani kikosi kazi cha makomandoo kiwe TAYARI kwa majanga hasa kanda ya ziwa,kigamboni,Dodoma,Arusha na nyanda za juu kusini pia KWA majanga ya ASILI!!tetemeko,kimbunga na njaaa pia tishio la kiusalama kutoka KWA wahalifu wa NDANI na nje ya NCHI!!!
 
Mkurugenzi e Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Musa Mbura amesema hakuna ajali ya Ndege iliyotokea Mwanza katika Ziwa Victoria leo

Kilichofanyika ni mazoezi tu ya Uokoaji na kujiweka tayari

Source: Ayo tv
 
Huwezi kusema una okoa "Ajali ya kujiandaa" halafu ikitokea ajali halisi uokozi ni zero.

Ajali ya "mafunzo ya utayari" wa uokozi, ina maanisha kwamba waokoaji wanafahamu eneo husika(Exactly location) ajali itakapo tokea, Wanafahamu siku, tarehe na muda husika wa Ajali ya mafunzo itakapo tokea, wata andaa vifaa vya uokozi pia watakuwa karibu eneo husika la ajali...

Sasa ikitokea Ajali halisi uokozi ni zero...

Upeo wa kufikiri ni mdogo sana Tanzania...
 
Acha Waendelee Na Huu Uchuro Wa Utayari Ipo Siku Itakuja Yenyewe Na Hautaweza Lolote


Mmeanza Kuchura Kahama, Sasa Mwanza
 
Upuuzi Mtupu
Linapotokea Tukio La Kweli Chali Hatuwezi
 
Back
Top Bottom