Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

Nmeona anko DeepPond ameshajibu
Huko kwamba inasaidia kuficha mashuka machafu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nilijua weusi wa karibu na buyu la asali 🀣🀣🀣
Mana kuna watu hawataki ku do kwenye mwanga mkali πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Mi nilijua weusi wa karibu na buyu la asali 🀣🀣🀣
Mana kuna watu hawataki ku do kwenye mwanga mkali πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Hivi Kuna watu bado hawajui kuscrub buyu la asali
 
Bora iwe hivyo Mkuu, hata kama Babu yenu nimezeeka lakini kuchapiwa hakuzoeleki ujue 😜
Mtu unapiga hesabu ina zle raha nazopata Kuna mtu kala? afu huku nje tunapiga kama tunaua "tunakamia"
 
Mtu unapiga hesabu ina zle raha nazopata Kuna mtu kala? afu huku nje tunapiga kama tunaua "tunakamia"
Hilo neno " tunakamia"... Ndiyo linazidi kunipa sababu ya kuendelea kumficha Bibi yenu...

Maana sisi tuliozeeka wa kimoja chali mkija kuwakamata wake zetu si mtafanya watusahau kabisa Vijana wenzao wa zamani?

Ndiyo kwanza umefanya nirudie kuusikiliza wimbo wa Namficha wa Harmonize mara ya 10 sasa 😜
 
Yaan kila nkisoma maandishi yako nahis we ni kijana unaejivika uzeee🀣
 
Yaan kila nkisoma maandishi yako nahis we ni kijana unaejivika uzeee🀣
Wazee pia huvutiwa na miziki mizuri

Baada ya kusikiliza wimbo wa Georgina ama rangi ya Chungwa lakini hata hizo nyimbo zenu Vijana huzisikiliza pia

Endelea kuwa na Imani na Wazee πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…