Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
VCG111418201580.jpg

VCG111418201566.jpg

VCG111418201569.jpg

VCG111418201581.jpg
VCG111418201572.jpg

VCG111418201583.jpg
 
Kwenye kuua tamaduni za asili wakoloni maeneo mbalimbali ya Asia hasa hasa far East walikutana na kisiki cha mpingo hawa mabwana ni kama wamasai na wadzabe huku kwetu walikataa kubadilika katu katu, Mao naye alikuja kupigilia msumari wa kuua kabisa tamaduni za nje ya China.

Pongezi kwa wachina kwa kusimamia misimamo yenu ya kuenzi tamaduni zenu kwetu huku Afrika tunaita tamaduni ni ushetani kwa mujibu wa mafunzo ya dini za kikoloni tabu tupu bado tuna safari ndefu sana.
 
Na elimu wanayo pia

Jiulize sie tunao jifanya tunaelimika mila na tamaduni hazina nafasi tunafanya nini

Yani Tanzania tuna safari ndefu kweli ya kuelimika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom