Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Mkaenda kulala wote baada ya sherehe, mkapasha kiporo 😜
Wifi hakuna kuchana page wote watu wazima hapa..!! 😹
 
Hizi akili siku nyingine huwa unaziweka wapi kwanini huwa hamuongelei ujinga wa wanaume wenzenu kama hao, sisi tukiwasema wanaume kama hao huwa mnatutukana na kujifanya wanasaikolojia uchwara, kwamba ina maana huwa hamjui kuwa kuna wanaume magalasa kama ambavyo kuna wanawake magalasa..anyway taratibu tu mtatuelewa!!
 
Your browser is not able to display this video.
 
DWA

Damaged Women Association

Dada zangu humu mmepigwa na matukioo, wengine ndo mana mna hasira kama mbogo! dah sio poa. Mwanamke mpaka ana type paragraph ndeefu ya mapitio! mana jamaa bado ana chance ya kusuuza rungu.
 
Acha uwongo,hakuna dunia hii mwanamke baada ya yote uliyoorodhesha hapo kukufanyiwa na huyo uliyemuita mumeo atafanya ulichodai kukifanya hapa.

Ulipie mashemeji zako ada?nani,mwanamke huyu huyu tunayemjua ambae kuna wakati hata kuwasaidia ndugu zake wa damu?
 
Basi sawa, nitakubishiaje wewe mjuzi wa wanawake wote duniani
 
Basi sawa, nitakubishiaje wewe mjuzi wa wanawake wote duniani
Siyo basi sawa pinga kwa hoja,kwanini unakuwa mwongo kwa vitu vilivyokaa uchi kama hivyo?wewe unadhani yupo mwanamke anaweza kumlipia ada shemeji yake?

Tena wewe umeongeza kusema “wadogo zake” means walikuwa zaidi ya mmoja.
 
Siyo basi sawa pinga kwa hoja,kwanini unakuwa mwongo kwa vitu vilivyokaa uchi kama hivyo?wewe unadhani yupo mwanamke anaweza kumlipia ada shemeji yake?

Tena wewe umeongeza kusema “wadogo zake” means walikuwa zaidi ya mmoja.
Humu JF kuna maajabu, sasa wewe unabishia maisha yangu kwa kuniambia namna ambavyo haiwezekani bila kujua hata niliishije na hao shemeji zangu.

Kama kwako haiwezekani, haimaanishi kwa wengine pia ni hivyo hivyo.
Tunapatana na hawa shemeji zangu mpaka leo, mmoja nilimpa connection ya kazi after chuo na alikuja kwenye harusi yangu wakati naolewa na mwanaume mwingine.

Mahusiano kuisha si vita na kutoa ni moyo wa mtu, hakuna formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…