Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui mwanasheria gani au wakili fulani.

Unaweza kudhani ubakibencha ndio inatoa wanasheria wabobezi, maana sio kwa amsha amsha na polisi

Taja kada nyingine inayopelekwa gerezani mara kwa mara
 
uhasibu
 
Penye madini hapakosi vita, tazama huko Congo na kwingineko duniani utaelewa.
 
Back
Top Bottom