Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.

Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.

Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya.

1002265990.jpg

NB; NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
 
Nakumbuka waliibaga plant ma carbon wakadakwa... Hasira za wananchi kipindi kile bandari na RUSHWA vinazua utata... Wananchi walivuta sumu ya machungu ya RUSHWA wakalipizia
 
I
Mimi kama muungwana nimeikuta mtandao wa X nikaona niisambaze..... inawezekana ikawa hivyo au ukawa wizi wa kuaminika maana alikuwa mlinzi........
Ila usipende kushare share... Wengine wachawi wanaanza na wewe... Au ukute ni Fake new... So ukajikuta matatizoni Mtanzania Mwenzetu... Bora tu tupigwe kipato chetu ila kiafya tuwe salama...
 
I

Ila usipende kushare share... Wengine wachawi wanaanza na wewe... Au ukute ni Fake new... So ukajikuta matatizoni Mtanzania Mwenzetu... Bora tu tupigwe kipato chetu ila kiafya tuwe salama...
Asante sana kwa ukumbusho ndugu yangu...... nilidhani nafanya wema......
 
Huyo akijitokeza na mwanasheria nzuri hamuambulii kitu .
Hata mkataba wake unaweza kukuta una kasoro au hamukumpa kabisa mkataba
 
Back
Top Bottom