Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.

Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.

Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya.

View attachment 3044344
NB;
NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
Kama hiyo plant ni ya mabeberu, wacha achukue tu mafao yake mapema, maana mirahaba yenyewe ni kiduchu.., bora pesa ailete huku mtaani kuliko ibadilishwe kuwa dollar na kupelekwa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom