Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

Inakuwaje mtu kaiba dhahabu nchini kwake... Kama kawaibia wachina amna kesi apo... Kama kaibia watanzania wenzetu wakimpata wagawane waschukue zote...
 
Mie nilikua tangu enzi za twitter, saizi nikijaribu kujisajiri inakataa changamoto inaweza kuwa nini?
Sidhani kama kuna changamoto ndugu....nadhani unatakiwa tu kuangalia na kufuata maelezo yao vyema..... hawawezi kuweka mazingira magumu kwa kuwa wewe ni mteja wao.....
 
Inakuwaje mtu kaiba dhahabu nchini kwake... Kama kawaibia wachina amna kesi apo... Kama kaibia watanzania wenzetu wakimpata wagawane waschukue zote...
Hahaahahhaa!!!!!!

Lakini kila jambo si lina utaratibu wake.......???
 
Ila in real kakosea... Angeiba kidogo af akasubiri na mgao ingekuwa Fine... Saivi najua usiku halali anatamani arudishe mali...
 
Ma

Maisha yanachosha bro... Nimeishi mgodini naelewa maboss wanavotesa watu... Ndio maana bro kaamua kusepa na Carbon😂😂😂
Hakika haya maisha yanataka subira Sana.....lakini pia tuangalie na njia zenyewe ili hizo Neema zituneemeshe na sio kutuletea mateso
 
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.

Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.

Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya.

View attachment 3044344
NB;
NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
Acha kusambaza mwenzio apo kashatoboa wew ulitaka alinde miaka buku na hela anaziona au
 
Hakika haya maisha yanataka subira Sana.....lakini pia tuangalie na njia zenyewe ili hizo Neema zituneemeshe na sio kutuletea mateso
Umeongea point... Hapo ndipo alipokosa... Tamaa mbele mauti nyuma... Cha kumshauri arudishe mali hakuna namna
 
Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant.

Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa.

Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya.

View attachment 3044344
NB;
NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
Watu hua ni kama wanachoka na malipo ya kinyonge wanajikuta wanaingia kwenye hasira na kufanya haya,japo tabia ya wizi ni ya mtuhusika,ila kuna unyonge na ufinyu wa malipo kutoka kwenye makampuni,mashirika,serikali na maeneo kadha wa kadha ya kazi,huku ukiona watawala wanakula cake vizuri sana,inaweza kumbadilisha mtu na kufanya haya
 
Nawatakieni usakaji mwema wa kumsaka msakata Carbon...
 
I

Ila usipende kushare share... Wengine wachawi wanaanza na wewe... Au ukute ni Fake new... So ukajikuta matatizoni Mtanzania Mwenzetu... Bora tu tupigwe kipato chetu ila kiafya tuwe salama...
💯💯
Na hawezi kuiba hiyo mali akakaa kizembe, inawezekana muda huu yuko mahali anatengenezwa.
 
Watu hua ni kama wanachoka na malipo ya kinyonge wanajikuta wanaingia kwenye hasira na kufanya haya,japo tabia ya wizi ni ya mtuhusika,ila kuna unyonge na ufinyu wa malipo kutoka kwenye makampuni,mashirika,serikali na maeneo kadha wa kadha ya kazi,huku ukiona watawala wanakula cake vizuri sana,inaweza kumbadilisha mtu na kufanya haya
Hakika ndugu.....
 
Mbeya kwenye sekta ya wizi wako vizuri... Waliniibia simu na wali kwenye sufuria... Narudi sioni simu wala wali...
 
Asante sana kwa ukumbusho ndugu yangu...... nilidhani nafanya wema......
Mlinzi tu huyo kapewa chenji ili wezi waibe hizo carbon kumbuka ni lazima watumie magari Tipper kuiba kwa hiyo hapo mwenye mali mara nyingi anawajua au kusikia wezi wake ila kesi inaanza kwa mlinzi na muda mwingine watatangaza mlinzi anatafutwa kumbe wahuni wamemuua na kumtupa porini mambo za Chunya hizo pana miguu mingi maana hizo Carbon huwa zinakua porini sio mjini..vitu vingine siku ingine waachie wenyewe mazee..
 
Asante sana kwa taarifa ndugu yangu......
 
Back
Top Bottom