Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Aisee watu hawana madhara yeyote ila wanapata tabu kwenye Nchi yao haya mambo wasipoyafanyia kazi huko mbele yatawaletea shida sana aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana Jr kaa kimachale kumbuka umetoa namba yako hapa jana..
Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.
Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo zangu ndani maana ndio nilikua nataka nianze kufua, pia naacha simu yangu hii chaji nipigie kwa Tigo yangu.
Soka: Sawa ngoja nimpigie na Dereva wangu Frank Mbise
Tangu siku hiyo Jacob Mlay, Frank Mbise na Deusdedith Soka hawajawahi kupatikana, Jacob Mlay ameacha mtoto mdogo na Mbise ameacha mtoto mdogo.
Credit: Mwaipaya FBView attachment 3260769
Kabisa, ukijifanya unatoa maoni ya kurekebisha au kukosoa kitu, ghafla wanakuona ni adui na wanatafuta kukuua, hakika hawa watu ni mashetani, wanathamini madaraka yao na vyeo vyao kuliko utu wa kibinadamuNakubaliana na wewe 100%, anayetuongoza kujifanya mcha Mungu kumbe ni dictator haswa
Sisi wananchi inabidi tushikamane kuyatoa haya madiktetaKabisa, ukijifanya unatoa maoni ya kurekebisha au kukosoa kitu, ghafla wanakuona ni adui na wanatafuta kukuua, hakika hawa watu ni mashetani, wanathamini madaraka yao na vyeo vyao kuliko utu wa kibinadamu
Hakika, bila nguvu ya wananchi hawa madikteta watazidi kusumbuaSisi wananchi inabidi tushikamane kuyatoa haya madikteta
Hawa wahuni wanafanya mambo ya ajabu snHakika, bila nguvu ya wananchi hawa madikteta watazidi kusumbua
Lakini hao hao wanawaomba viongozi wa dini kuiombea nchi amani. Msingi wa amani ni haki; haki inapotendeka hakuna sababu ya kuombea amani.Mambo ya ajabu sanaMpaka sasa hivi watakuwa wameshauliwa, hakika tuna Serikali dhalimu zenye viongozi makatili wasio na utu wa kibinadamu
Ina maana bado ni wazima kumbe?Maria alisema anajua walipofichwa na asipoachiwa huru atasema ni kina nani wamewachukua
Itakua Maria MagdalenaMaria yupi? Afadhali kama bado wapo Hai.
Mungu ni mwema
mkuu mbona unakosa stara kiasi hiki, unahisi wewe ni vigumu kupatikana kwakua unatumia ID fake hapa sio?Inasikitisha sana, halafu mbuzi jike mmoja ametoka kupandwa huko, anasema ni vi drama
Ukosoaji tu ???????????!!!! 😱😳UKijiuliza wana kosa gani? Linalostahili kufa?
Duh 🙄 !Mshana Jr kaa kimachale kumbuka umetoa namba yako hapa jana.
Inasikitisha sana, halafu mbuzi jike mmoja ametoka kupandwa huko, anasema ni vi drama
Trump - RAIS wa nchi, akiwa anahutubia kwenye Bunge la senate, kuna baadhi wabunge waliamua kutoka nje kabisa. Kuna wananchi pia nao walipingana na hoja alizowasilisha. Huwezi sikia FBI au CIA wakija na kuwateka. Ukifanya hivyo Tz, ukinusurika kutekwa basi jiandae kuhojiwa uraia au kupewa kesi ya uhujumu uchumi!.
Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu.
Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo zangu ndani maana ndio nilikua nataka nianze kufua, pia naacha simu yangu hii chaji nipigie kwa Tigo yangu.
Soka: Sawa ngoja nimpigie na Dereva wangu Frank Mbise
Tangu siku hiyo Jacob Mlay, Frank Mbise na Deusdedith Soka hawajawahi kupatikana, Jacob Mlay ameacha mtoto mdogo na Mbise ameacha mtoto mdogo.
Credit: Mwaipaya FB