Issue yao ya kupiga kura usiku huu kwenye masanduku yao wanayoyaleta usiku ndiyo yameleta maafa! Wana ulinzi wa askari na wanajeshi. Raia wamekaza hawataki ushenzi wanafyatua risasi na mabomu ya machozi na kuna raia wamekufa.
Hahaha Kupoteza Uhai sio Kazi Ndogo we endelea kukaa nyuma ya Keyboard broo Changia Changia tu
Uisilam ni Dini ya haki,kwa Nini waisilam wenyewe kwa wenyewe mnafanyiana hivi?hii yote kwa ajili ya uroho wa madaraka,halafu Bado viongozi wa dini wamekaa,na watakaa kimya,kazi kumtumikia huyu fedhuli
Magufuli na CCM wanaharibu hili taifa, wanayoyafanya visiwani sio utu kabisa, mpaka sasa hivi kuna report zaidi ya watu 5 wamefariki kwa kupigwa risasi, hii siyo fair kabisa
Mimi nimeridhika na kashamba changu huku kijijini
Eti unakosa amani kwa sababu ya mbunge fulani ashinde Hell No
Yaani mkuu mimi nipo Tanganyika huku, imeniuma sana, ujinga wao halafu watu wanadai haki zao unawapiga risasi, hii ni haki jamani, nazidi kuichukia CCM na watu wakeIssue yao ya kupiga kura usiku huu kwenye masanduku yao wanayoyaleta usiku ndiyo yameleta maafa! Wana ulinzi wa askari na wanajeshi. Raia wamekaza hawataki ushenzi wanafyatua risasi na mabomu ya machozi na kuna raia wamekufa.
Wamekufa wako pigs is hakiWatakumbukwa na nani kwani nyie hamwandamanii mnasakizia wenzenu wafeee mjifanye wamekufa kishujaaa. Ukihatarisha Amani ya watu ni lazima uwajibike
Zitto Kabwe katoa Number ya Matekani akiandika FICHUA UCHAGUZI dah nimejiuliza Sana Why American Number Hawa Mabwege Ndio wanatakiwa kuwekwa ndani maana in dharau na kushikiza kwa mabeberu uvunjifu Wa amani MAGUFULI SIMAMA IMALA USIYUMBISHWE TULINDE MZEE WETUWamekufa wako pigs is haki
Magufuli amesha legea na ataachia madaraka kwa aibu.Zitto Kabwe katoa Number ya Matekani akiandika FICHUA UCHAGUZI dah nimejiuliza Sana Why American Number Hawa Mabwege Ndio wanatakiwa kuwekwa ndani maana in dharau na kushikiza kwa mabeberu uvunjifu Wa amani MAGUFULI SIMAMA IMALA USIYUMBISHWE TULINDE MZEE WETU
Mkuu wala usihangaike nae huyo, huyo ni ngurundaUpo kijijini wapi wakati upo ofisi za CCM umezungukwa na computer nne hapo unacheza na ID tofauti tofauti kucomment ujinga wa CCM!
Unaandika nini sijaelewaMagufuli amesha legea na Staa his madaraka kwa aibu.
Magufuli amesha legea na ataachia madaraka kwa aibu.
Zitto Kabwe katoa Number ya Matekani akiandika FICHUA UCHAGUZI dah nimejiuliza Sana Why American Number Hawa Mabwege Ndio wanatakiwa kuwekwa ndani maana in dharau na kushikiza kwa mabeberu uvunjifu Wa amani MAGUFULI SIMAMA IMALA USIYUMBISHWE TULINDE MZEE WETU
TUSITISHANE! Nina wasiwai na uzi huu.Zanzibar ni shwari,amani imetawala
Watakuwa waooo Wahuni wakubwa Mwinyi ndio RaisZanzibar wanasema hata iweje rais ni Maalim, afe beki afe kipa ngoma lazima kieleweke.