Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANAAmeingia Ikulu kupindua meza?
Ina maana makamo hayupo? Ila tuache utani kama sio huyu mwamba sukuma gang wangeibeba hii waipeleke chato.Maarifa katika Dunia ya sasa yanahitajika.
View attachment 1906621
View attachment 1906624
View attachment 1906625
View attachment 1906626
Ohoo huu utoto bado haujawaisha tu?Ina maana makamo hayupo? Ila tuache utani kama sio huyu mwamba sukuma gang wangeibeba hii waipeleke chato.
Wanaojua itifaki inabidi wake watueleze imekaaje hiiIna maana makamo hayupo? Ila tuache utani kama sio huyu mwamba sukuma gang wangeibeba hii waipeleke chato.
alafu wewe jamaa unamuonea sana kakinda....je unamjua huyu kwenye picha hii?Mmh! Kunakitu hakiko sawa[emoji848]View attachment 1906642
Ata simjui mkuu[emoji4]alafu wewe jamaa unamuonea sana kakinda....je unamjua huyu kwenye picha hii?
waulize watoto wa mkendo kati musoma mjiniAta simjui mkuu[emoji4]
Rwanda hio Bob.Ameingia Ikulu kupindua meza?
Rwanda.Hizo uniform za keshi gani? Mbona kama sio Tz