Taarifa: Jenerali Mabeyo atembelea Rwanda kwa Ziara Maalumu

Taarifa: Jenerali Mabeyo atembelea Rwanda kwa Ziara Maalumu

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Tanzania Jenerali Venence Mabeyo yupo ziarani Nchini Rwanda

Ziara hiyo itahitimishwa Agosti 26, 2021

TBC

FB_IMG_16298292710301745.jpg
 
Jamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
 
Sukuma by birth unamaanisha nini ndugu, yawezekana na mimi nikawa zaramo by birth?[emoji72]
Ni msukuma pure, baba yake, mama yake, babu yake ma bibi yake...
Na kazaliwa huko kanda ya ziwa...! Kabila lake ni msukuma..
 
Wachomoe jwtz congo kagame ashauri hilo

Kwani JW inazuia PK kupiga madini congo?Kule ni shamba la bibi kila mtu anajichotea tu.Hata juzi Special force ya jeshi la Kenya nayo imepelekwa huko Congo na kuna Special force kutoka jeshi la US nayo inakuja rais wa congo amesha confirm.
 
Back
Top Bottom