Taarifa: Jenerali Mabeyo atembelea Rwanda kwa Ziara Maalumu

Taarifa: Jenerali Mabeyo atembelea Rwanda kwa Ziara Maalumu

hio sio sababu ya msingi maana mbinu za wao kwenda kule walizipata kwa mabeo kabla hawajaanza safaari
 
Sijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )
Huu utafiti wako unaweza kutugawia chapisho lako na sisi tujifunze hasa vigezo vyako ulivyotumia mpaka kufikia hitimisho hili?
 
Back
Top Bottom