Taarifa: Jenerali Mabeyo atembelea Rwanda kwa Ziara Maalumu

Jamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
Mzee Kagame yupo very smart, tembelea siku moja ukae hata siku tatu halafu urudi bongo land utajua hujui
 
Umesema kweli kabisa mpaka bese byumba msituni kule kuna safishwa na ulinzi ni mkali kabisa.
 
Tz general ni mmoja tuu. Huko rwanda mageneral wapo kama 10 hivi.
Aseee
Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humu
 
24 August 2021

The Chief of Tanzanian Defence Forces General Venance S. Mabeyo in Rwanda for an official visit

Source : RwandaTV

Tanzania Army Chief On Official Visit To Rwanda

The Chief of Defence Forces of Tanzania People’s Defence Forces (TPDF), General Venance Mabeyo is on an official visit to Rwanda from 23 August 2021 to 26 August 2021.

Today, Gen Mabeyo paid a courtesy call on the Minister of Defence, Maj General Albert Murasira and thereafter, held bilateral discussions with his counterpart, Gen J Bosco Kazura at Rwanda Defence Force (RDF) Headquarters, Kimihurura.

In an interview, Gen Mabeyo said that this visit aims at strengthening cooperation between TPDF and RDF. He added that it was a reciprocal visit to the recent visit by the RDF CDS Gen J Bosco Kazura to Tanzania and stressed that such visits are a sign of the level of confidence and mutual trust between our respective militaries.

The TPDF Chief of Defence Forces and his delegation paid respect to the victims of the 1994 Genocide against Tutsi at Gisozi Genocide Memorial and also visited the Campaign Against Genocide Museum.

He will also visit the RDF Command and Staff College and Kinigi IDP Model Village in Musanze District.
 
Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humu
Ahsante sana sana. Nimekutana na komenti ya kiume na kizalendo......nilikuwa nashangaa tu mtoa mada na watu wake wanavyotililika upuuzi. Yaani humu mtu akiwa anamchukia raisi wa nchi hii basi atajitahidi kuponda kila jambo hata yale asiyoyajua. Eti kagame ana kikosi maalum kongo, hv tz ipo tangu lini huko?! Huko msumbiji kuna kikosi cha kagame peke'ake au ndicho kilichoamriwa kuripotiwa humu? Sadc waliamuaje kuhusu kule?!

Nami naanza kuhisi kuwa itakuwa kweli kuna watusi humu na kijiajenda chao fulani........bado sana, endeleeni kujipanga!
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Tanzania Jenerali Venence Mabeyo yupo ziarani Nchini Rwanda

Ziara hiyo itahitimishwa Agosti 26, 2021

TBC

View attachment 1906715
Sijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )
 
Ahsante sana sana. Nimekutana na komenti ya kiume na kizalendo......nilikuwa nashangaa tu mtoa mada na watu wake wanavyotililika upuuzi. Yaani humu mtu akiwa anamchukia raisi wa nchi hii basi atajitahidi kuponda kila jambo hata yale asiyoyajua. Eti kagame ana kikosi maalum kongo, hv tz ipo tangu lini huko?! Huko msumbiji kuna kikosi cha kagame peke'ake au ndicho kilichoamriwa kuripotiwa humu? Sadc waliamuaje kuhusu kule?!

Nami naanza kuhisi kuwa itakuwa kweli kuna watusi humu na kijiajenda chao fulani........bado sana, endeleeni kujipanga!
Pamoja sana mkuu,, na ukitaka kuamini hilo we pitia thread nyingi zinazomhusu yule jamaa, anaitwa majina mengi tu humu ya kumpamba,, mara master mind, mtu na nusu,rais wa Africa mashariki etc. Kuna watu wana agenda ya siri humu mana si promo hizi kwa Rwanda. Wakati hao wanyarwanda wenyewe wanatamani hata wawe watanzania na wanaopiga kelele wote humu watusi wanaoishi Tanzania. Ikiwa hicho kimkoa chenu cha Rwanda mnakisifia kama paradiso nendeni basi mkaishi huko na sio kutupigia kelele humu.
 
Jamani kwani huyu Kagame ana nini mbona anatutumia kama toilet paper kuanzia Tanzania,Congo&Ug.
Nilitegemea kutokana na Samia kuwa tawi la Kikwete basi mambo ya Kagame yatakuwa yamefika mwisho kumbe ndio kwanza kumekucha.
Anakutumia wewe tu ,hizi nchi lazima ziashirikiane tu

USSR
 
Sijawahi kuona Jeshi ambalo kwa sasa hapa Barani Afrika limejengwa kwa Misingi yote imara ya Kimedani kuanzia Nidhamu, Ujasiri, Ubunifu, Ukomavu, Umakini, Uweledi na utayari wa Kimapambano bila Kumuogopa sijui Adui yoyote Yule kama la Rwanda ( RDF )
Uliwahi kuwa askari huko Rwanda au upumbavu wako tu hapa

USSR
 
Ndio nini sasa labda,, kwamba wao Rwanda jeshi lao liko imara au,, we unaona ajabu Rwanda kuwa na majeneral 10 wakati vile vikundi vya waasi kule congo kila mtu general,, inategemea na namna wanavyopeana huo ugeneral ila sie hapa hatupeani tu ovyo ovyo,, huyo general wa Rwanda kiuwezo kwetu hapa kuruta tu,,, na sio kwamba miziki ya wabongo hawaijui, wanaijua vizuri tu,, kuwashinda lile genge la wale jamaa wasiokuwa na mafunzo yoyote kule msumbiji isiwe nongwa humu,, rejea kile kikundi chake cha m23 walivyotolewa mkuku na jeiwii.. nilichogundua watusi mnapewa bahasha humu ili mumpambe huyo jamaaa yenu, mana general mabeyo anakwenda sehemu nyingi tu, lkn kwenda Rwanda tu kelele zimeanza humu
Kweli kule msituni vikundi vya Rwanda, mageneral wa mitutu kibao, huenda Rwanda akawa na mageneral 100.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mbona Mwamunyange alikuwa anafanya ziara hatujui alipo mpaka tunamtafuta?? 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Pamoja sana mkuu,, na ukitaka kuamini hilo we pitia thread nyingi zinazomhusu yule jamaa, anaitwa majina mengi tu humu ya kumpamba,, mara master mind, mtu na nusu,rais wa Africa mashariki etc. Kuna watu wana agenda ya siri humu mana si promo hizi kwa Rwanda. Wakati hao wanyarwanda wenyewe wanatamani hata wawe watanzania na wanaopiga kelele wote humu watusi wanaoishi Tanzania. Ikiwa hicho kimkoa chenu cha Rwanda mnakisifia kama paradiso nendeni basi mkaishi huko na sio kutupigia kelele humu.
Hahahaaaa! kabisa, wandering tu ktk mkoa wao!
 
Back
Top Bottom